Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kwa maelezo haya inatosha kabisa kuamini kero aliyoitoa hapa mtoa mada hizo bar zenu za tarime ushamba ni tatizo kubwa sanaKwanza una bahati sana hukutongozwa ukashikishwe ukuta.
Mwanaume unaendaje bar unakaa kindezi ndezi kama zindiko.
Jamaa wamekuheshimu sana, ulipaswa uombwe makalio.
Fact that hakuna anayepinga ndiyo inazidi kuhalalisha alichoongea huyu member. Watu wamekomaa tu sharing is caring, una bahati hujaombwa ukashikishwe ukuta, kwanini ukae kindezi ndezi
Maisha ni magumu ila siyo kama hivi