Wanaume waheshimiwe milele

Kumbe umepita kule eeh... karibu sana mito leo tunaendelea
 
Last edited by a moderator:

Nigawie mm
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu anapambwa apigwe mzinga.

Hahahaa pia ninajua mbinu za kuomba hela ila sio kwa stail hii mkuu...
Ningemtafuta nimsifie yeye tuu..kama kwa kusifiwa naweza pata kizinga..
 
Hahahaa pia ninajua mbinu za kuomba hela ila sio kwa stail hii mkuu...
Ningemtafuta nimsifie yeye tuu..kama kwa kusifiwa naweza pata kizinga..

Who's that superman who turned you that way?
 
Eli79 huyo kaniambukiza, aaaah kaka mito jamani mie tena umesahau nina experience ya kutosha? Nishaolewa sana yaani.
 
Last edited by a moderator:
Eli79 huyo kaniambukiza, aaaah kaka mito jamani mie tena umesahau nina experience ya kutosha? Nishaolewa sana yaani.
Kiongozi mito hakika umesema kweli kabisa. Siwezi kuongeza zaidi... atoto ni mbishi funga kazi!!! Lakini pia experience ya bf/gf ni tofauti sana na ndoa!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…