eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Umegusa mpaka kwa moyo cute b love you kwa kweliWow asanteee jaman..nakupenda pia.
Upendo wa Agape
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umegusa mpaka kwa moyo cute b love you kwa kweliWow asanteee jaman..nakupenda pia.
Upendo wa Agape
Na mimi ujue bado siamini macho yangu mkuu!Amen(tumekumbukwa leo)
mnajua hayo wengi wanatuona ile bidhaa ya vingunguti.Hahahaha nyie ni watu muhimu atiii.
Love you piaUmegusa mpaka kwa moyo cute b love you kwa kweli
Ndugu yangu kumbe wapo wanaothamini mioyo yetu na sio mifuko yetu.hee leo tumekumbukwa
Safi sana. Kumbe nanyie sometimes huwa mna-appreciate.Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)
WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.
EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.
Tunampenda sana cute b!wow wanawake aina yako katika ulimwengu wa sasa ni wachache mno yani mmoja jf nzima pongezi kwako tafadhali!...
Ndio naona ndugu wapo kumbe japo hawaonekani sanaNdugu yangu kumbe wapo wanaothamini mioyo yetu na sio mifuko yetu.