Wanaume waheshimiwe milele

Wanaume waheshimiwe milele

Hahahahaha. Makanjanja[emoji23][emoji23]
Yaani kuna madume ovyo kweli walahi
Mimi huwa sijali hata kama mwanaume ni house dady au hana uwezo kama mwanamke Maana nyakati zimebadilika na hakuna tena mwanamke anaye taka kukaa nyumbani bila kuleta kipato kwenye familia walahi
KWA KWELI WANAWAKE NI WATU WENYE HEKIMA NA BUSARA NYINGI WALAHI
 
Mweh siku yangu itaenda vizuri leo maana at least nimekutana na uzi wa faraja kidogo.

Amen kwa uliyosema dadaa!
 
Wanaume wachache sana wanastail hiyo pongezi kati ya 10 ni 3 tu mengine....mengine magole tu
 
Yaani kuna madume ovyo kweli walahi
Mimi huwa sijali hata kama mwanaume ni house dady au hana uwezo kama mwanamke Maana nyakati zimebadilika na hakuna tena mwanamke anaye taka kukaa nyumbani bila kuleta kipato kwenye familia walahi
KWA KWELI WANAWAKE NI WATU WENYE HEKIMA NA BUSARA NYINGI WALAHI
Hahahahaha.
Tena siku hizi tuna vipato kuliko wao.
 
Yaani kuna madume ovyo kweli walahi
Mimi huwa sijali hata kama mwanaume ni house dady au hana uwezo kama mwanamke Maana nyakati zimebadilika na hakuna tena mwanamke anaye taka kukaa nyumbani bila kuleta kipato kwenye familia walahi
KWA KWELI WANAWAKE NI WATU WENYE HEKIMA NA BUSARA NYINGI WALAHI
Hivi wewe ni jinsia gani? Maana hizi walahi utadhani unaukatikia huno mshipi.
 
Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...

Wanaume wana roho nzurii jamani....

Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...

...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)

WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.

EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.
Amen.
 
Back
Top Bottom