Wanaume wajinga huwaruhusu wake zao kupakwa rangi kucha zao. Ni ajabu!

Wanaume wajinga huwaruhusu wake zao kupakwa rangi kucha zao. Ni ajabu!

Achorwe tattoo au asichorwe, aoshwe miguu au asioshwe, sisi tulioowa wanawake ambao hatukuwakuta bikra ni wapumbavu na malofa wakubwa. Unajivuniaje mke ambaye alishauza utu wake kwa vijeba wengine.
kweli kabisa sisi ni mafara
 
kwahiyo unaweza ukamwendesha mtu na kumpangia maisha kisa tu unaishi nae na kumlipia bills?

nachojua Ndoa kama umeoa unakuwa unamiliki asilimia kadhaa labda 20% ila sio 100%

mawazo ya kijinga kama haya ni hatari sana .

unafikiri mpaka rangi na muosha miguu ndo anweza tembea na mke wako tu.?
 
Back
Top Bottom