youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,811 Reaction score 3,888 Jan 16, 2026 #21 TAI DUME said: Achorwe tattoo au asichorwe, aoshwe miguu au asioshwe, sisi tulioowa wanawake ambao hatukuwakuta bikra ni wapumbavu na malofa wakubwa. Unajivuniaje mke ambaye alishauza utu wake kwa vijeba wengine. Click to expand... kweli kabisa sisi ni mafara
TAI DUME said: Achorwe tattoo au asichorwe, aoshwe miguu au asioshwe, sisi tulioowa wanawake ambao hatukuwakuta bikra ni wapumbavu na malofa wakubwa. Unajivuniaje mke ambaye alishauza utu wake kwa vijeba wengine. Click to expand... kweli kabisa sisi ni mafara
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Jan 16, 2026 #22 Smart911 said: Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw Click to expand... Acheni kukompliketi mambo!
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Jan 17, 2026 #23 kwahiyo unaweza ukamwendesha mtu na kumpangia maisha kisa tu unaishi nae na kumlipia bills? nachojua Ndoa kama umeoa unakuwa unamiliki asilimia kadhaa labda 20% ila sio 100% mawazo ya kijinga kama haya ni hatari sana . unafikiri mpaka rangi na muosha miguu ndo anweza tembea na mke wako tu.?
kwahiyo unaweza ukamwendesha mtu na kumpangia maisha kisa tu unaishi nae na kumlipia bills? nachojua Ndoa kama umeoa unakuwa unamiliki asilimia kadhaa labda 20% ila sio 100% mawazo ya kijinga kama haya ni hatari sana . unafikiri mpaka rangi na muosha miguu ndo anweza tembea na mke wako tu.?
M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 4,343 Reaction score 7,238 Jan 17, 2026 #24 Akili za masikini kutwa kushindana na mwanamke