Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Yule Mchepuko uliweza kumroga kisawasawa wakati ulipokuwa unatafuta mganga konki?
Sijui utaroga wangapi maana akiachana na huyo huenda akaanzisha mahusiano mengine,
Naona umechoka sasa unataka umroge yeye mwenyewe!
Kuroga ni kuroga hakuna kwa wema ili atulie wala nini!
Halahala Mtoto wa mwenzio usijemuua!