Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
😅😅😅Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.
.
I lost my brother because of this....R.I.PSijamdhuru mtu nimemtuliza kunipenda ananipenda sana ila hana utulivu
Hata Mungu ananielewa sijamdhuru nataka utulivu tu sina nia ya kumgombanisha na nduguze au lingine lolote
🙌🙌Unazani ni kupenda basi?!
Mapokeo tu!
Kujichomoa haitakuwa rahisi na atalipa gharama kubwa pindi atakapotaka kufanya u turn ya kumgeuka shetani maana ameishaingia mkatab nae, na ninavyojua damu imemwagika inaweza kuwa ya kuku, njiwa au mbuzi.Pole sana Maya Angelou
Kwa hali unayopitia Sijui kama utanielewa ila HUWEZI KULIONDOA GIZA KWA KUINGIA GIZANI ZAIDI wala HUWEZI KUMUONDOA SHETANI KWA KUMTUMIA SHETANI
Ukiona umeenda kwa mganga ukafanikiwa hesabu siku chache za kuja kuvurugwa zaidi. Shetani ni muongo, mpotofu na muuaji
Ushauri wangu kama amekufikisha pa kumfanya awe ndondocha achana nae maisha bado yapo sanaa. Inawezekana ulikosea njia sasa tulia uone njia sahihi
Pole mwaya
KarmaTrapped to a married man
Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi. Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway. Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka...www.jamiiforums.com
Duh
Ndo mtarogwaa sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni dini tu ndo kikwazo, lakini mwanaume kuridhika na mwanamke mmoja haiwezekani.....
Kwa kweli, uko sahihi.[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aah bana wanachosha bora tukose wote sio kushare kila siku ugomvi amani itawale kwa sasa tuangalie mambo mengine pia
Akati asharogwaaa, ataanzia wapii??muda huu wa jioni lijamaa liko sehemu. Limekula nazi na energy drink, kapaka na wiks anasubiri kabinti akachakate.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]on his way back home
Hakuna sehemu anapitia huyo
Muache umalayaa, hutoona unarogwaa, ila km zipu mda wote iko wazi utarogwa tyuuh hakuna namna.Usijifunze kupitia ndoq za wengine au wanawake wengine!!! Maisha ya ushirikina ni mafupi mno, lakini zaidi namsikitikia kijana kwakupata mama au mke kama wewe....!!!! Nyie ndo mnafanya vijana wakatae ndoa, ipo siku moja utapeleka watoto kwa waganga wewe..... wewe kama mama amini icho ulicho anzisha utashidwa kukimaliza wakati ukifika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we nae khaaaahTena ushukuruku Mungu anakula wanawake ,kuna wenzio wanasimanzi wame zao wanapumuliwa, jivunie ww uyo ni kidume.