Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

ngoja niandike kwa herufi kubwa HIYO NDOA INAENDA KUFA HATA UMUUE MAMA YAKO HAKUNA NDOA TENA HAPO... JIANDAE KUITWA SINGLE MOTHER SOON... Ushirikina ni kiwango cha mwisho cha upumbav

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ndoa ipo sana hapa no kuachana
Kama wewe unaamini haipo ni wewe tu,wanaume wengi wanatengenezwa vizuri na wanatulia mimi sio wa kwanza
 
Chaguo ni mbili tu....kuvumilia tabia zake au kumuacha aende.

Kwanini uhangaike kumroga mtu mzima? Kama alikupenda wewe akakuoa hivyo hivyo anawapenda wengine.

Unaweza kufanikiwa kumfanya ndondocha ila athari zikawa kubwa kuliko ungeishi nae hivyo hivyo au kumuacha aende zake.

Wakati mwingine tujifunze mapenzi Huwa yanaisha.
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume...
Tupe namba ya huyo mganga na anapoishi
 
Chaguo ni mbili tu....kuvumilia tabia zake au kumuacha aende.

Kwanini uhangaike kumroga mtu mzima? Kama alikupenda wewe akakuoa hivyo hivyo anawapenda wengine.

Unaweza kufanikiwa kumfanya ndondocha ila athari zikawa kubwa kuliko ungeishi nae hivyo hivyo au kumuacha aende zake.

Wakati mwingine tujifunze mapenzi Huwa yanaisha.

Sijamdhuru mtu nimemtuliza kunipenda ananipenda sana ila hana utulivu
Hata Mungu ananielewa sijamdhuru nataka utulivu tu sina nia ya kumgombanisha na nduguze au lingine lolote
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Kama zizi la ngo’mbe majike 20 linahitaji dume moja je wewe ni nani????
 
Unakuja kutamba kwa kumfanya msukule mtoto wa mwanamke mwenzako??-- kumbuka huyo anao Wazazi na ndugu zake kama wewe ulivyokuwa nao, nduguze hawajaliona hilo??!
 
Yani sina mpango wa kumgombanisha na nduguze kwaio hawawezi kujua
Mimi lengo langu ni utulivu tu sio kumbully hapana
Nampenda sana siwezi kumtesa kwa style hio
 
Back
Top Bottom