mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Kimbola kinamgeukia anaanza kutambaa[emoji23]Hapo umevunja masharti auwezi fanya kazi huo ulogi umeuanika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimbola kinamgeukia anaanza kutambaa[emoji23]Hapo umevunja masharti auwezi fanya kazi huo ulogi umeuanika
Hapo umevunja masharti auwezi fanya kazi huo ulogi umeuanika
Kutokana na mleta mada binafsi naona ni kama kajichimbia kaburi lake mwenyewe hasa hapo kwenye "hatasimamisha akienda kwa mwanamke mwingine".Njoo nikuchanje chale special, kabla ya kwenda kunyandua anajijuta anajuta huku akikusimulia mipango yake hiyo mibaya, halafu baada ya hapo anampigia mchepuko wake simu, namweleza kuwa hamtaki tena na wamefika mwisho sasq
Nikuulize, yote haya ni kwanini au kwasababu ipi ambayo utaweza kusimama mbele ya mzazi wake nakumwambia.So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.
Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.
Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].
Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.
Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.
Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.
Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.
Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.
Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Sitaki kujua sana maisha yenu ya ndoa ila kiufupi wewe na mmeo wote mna matatizo, mmoja ni malaya na mwingine ni mshirikina.
Mathematically: Malaya+Mshirikina=Kizazi cha hovyoo.
REHEMA YA MWENYEZI MUNGU IWE JUU YENU
Njoo nikuchanje chale special, kabla ya kwenda kunyandua anajijuta anajuta huku akikusimulia mipango yake hiyo mibaya, halafu baada ya hapo anampigia mchepuko wake simu, namweleza kuwa hamtaki tena na wamefika mwisho sasq
Basi kuna watu watakuja kusema ulipie tangazo....
Hatari! Sii mchezo....kumbe mnapenda de liboloz hamtaki kushare[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila kumfanya mwenzio asidindishe mbele ya mbususu zingine ni roho mbaya. Kwani wee unakosa nini huyo akigegeda mbususu nyingine?
Ndo kipindi kile uliweka uzi unatafuta mganga konki bora ulivyomloga maana ungemaliza makanisa yote na kufa kwa stress eti unamuombea mume abadilike 🤣🤣[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ndoa ipo sana hapa no kuachana
Kama wewe unaamini haipo ni wewe tu,wanaume wengi wanatengenezwa vizuri na wanatulia mimi sio wa kwanza
Umekosea sana, na inaonekana huna hekima hata kidogo. Maya Angelou
Ulitakiwa kwanza ujiulize kwanini amebadilika ghafla na wakati hakuwa hivyo kipindi cha nyuma. Kuna uwezekano mkubwa alipigwa mshale kutoka nje na wewe ndio ulikuwa msaada wake ila ulicho kifanya umeenda kuushindilia mshale aliopigwa badala ya kumsaidia kuutoa.
Kama uko timamu nadhani utakuwa umenielewa.
Ila kwa kifupi adui aliyekuja kuipiga familia yako amesha kushinda.
Atakuwa na de liboloz tamu sana.Huyu ni wanguuuuu sitaki kushare na mtu[emoji28][emoji28]
Ndo kipindi kile uliweka uzi unatafuta mganga konki bora ulivyomloga maana ungemaliza makanisa yote na kufa kwa stress eti unamuombea mume abadilike [emoji1787][emoji1787]
Atakuwa na de liboloz tamu sana.