Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Njoo nikuchanje chale special, kabla ya kwenda kunyandua anajijuta anajuta huku akikusimulia mipango yake hiyo mibaya, halafu baada ya hapo anampigia mchepuko wake simu, namweleza kuwa hamtaki tena na wamefika mwisho sasq
Kutokana na mleta mada binafsi naona ni kama kajichimbia kaburi lake mwenyewe hasa hapo kwenye "hatasimamisha akienda kwa mwanamke mwingine".

Ikitokea hivyo itamuamsha jamaa kuamza kutafuta tiba maana ni kitu ambacho mwanaume yoyote hawezi kukifumbia macho, kwenye kutafuta tiba ni lazima kutaamsha mapambano ya kishirikiana kati yake na huyo mmewe, hapo sasa ni mwenye nguvu zaidi ndiye atakaeshinda maana ushirikina nao una viwango vyake.


Lakini pia ashukuru Mungu amekutana na mwanaume ambae hayuko vizuri katika kukabiliana na ushirikina vinginevyo angekuwa ameleta ushuhuda mbaya hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuulize, yote haya ni kwanini au kwasababu ipi ambayo utaweza kusimama mbele ya mzazi wake nakumwambia.
 
Umekosea sana, na inaonekana huna hekima hata kidogo. Maya Angelou

Ulitakiwa kwanza ujiulize kwanini amebadilika ghafla na wakati hakuwa hivyo kipindi cha nyuma. Kuna uwezekano mkubwa alipigwa mshale kutoka nje na wewe ndio ulikuwa msaada wake ila ulicho kifanya umeenda kuushindilia mshale aliopigwa badala ya kumsaidia kuutoa.

Kama uko timamu nadhani utakuwa umenielewa.

Ila kwa kifupi adui aliyekuja kuipiga familia yako amesha kushinda.
 
Sitaki kujua sana maisha yenu ya ndoa ila kiufupi wewe na mmeo wote mna matatizo, mmoja ni malaya na mwingine ni mshirikina.

Mathematically: Malaya+Mshirikina=Kizazi cha hovyoo.

REHEMA YA MWENYEZI MUNGU IWE JUU YENU

Sawa mtakatifu wewe na kizazi chako kilicho nyooka
 
Njoo nikuchanje chale special, kabla ya kwenda kunyandua anajijuta anajuta huku akikusimulia mipango yake hiyo mibaya, halafu baada ya hapo anampigia mchepuko wake simu, namweleza kuwa hamtaki tena na wamefika mwisho sasq

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante dawa imeshajibu huku inatosha
 
Hatari! Sii mchezo....kumbe mnapenda de liboloz hamtaki kushare[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila kumfanya mwenzio asidindishe mbele ya mbususu zingine ni roho mbaya. Kwani wee unakosa nini huyo akigegeda mbususu nyingine?

Huyu ni wanguuuuu sitaki kushare na mtu[emoji28][emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ndoa ipo sana hapa no kuachana
Kama wewe unaamini haipo ni wewe tu,wanaume wengi wanatengenezwa vizuri na wanatulia mimi sio wa kwanza
Ndo kipindi kile uliweka uzi unatafuta mganga konki bora ulivyomloga maana ungemaliza makanisa yote na kufa kwa stress eti unamuombea mume abadilike 🤣🤣
 

Vita yangu nimeifanyia uchunguzi vizuri sana
Sijakurupuka najua nilicho kifanya
 
Ndo kipindi kile uliweka uzi unatafuta mganga konki bora ulivyomloga maana ungemaliza makanisa yote na kufa kwa stress eti unamuombea mume abadilike [emoji1787][emoji1787]

Ile ilikuwa issue nyingine boss,Yule mbona kesi ilikuwa mahakamani na nilishinda kiulaini hadi nilisha sahau
Round Hii ni Mume mwenyewe sasa
 
Mapenzi ni jambo khiyari ya nafsi ya mtu......unapoona unahitaji kutumia nguvu ya ziada kwenye kuliendeleza au kulidumisha penzi maana yake tayari hapo hakuna mapenzi kwa kuwa imeshaondoka khiyari na kuingia utumwa.........

Unapata raha gani kumuamrisha mtu ambaye hawezi kukataa......

Unapata raha gani kuishi na mtu ambaye unajua uwepo wake hapo ni kama gogo la mti na sio utashi wa nafsi yake............

Hatua uliyochukua sio kuwa unampenda mumeo ni ya kumuangamiza mumeo........je wewe ukitendewa hivyo ukijua utajisikiaje........??

Unafurahia kumfanya ndondocha muda huu lakini akija kugundua (lazima atagundua tu)...ujue ndio mwisho wa ndoa yenu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…