Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Yani sina mpango wa kumgombanisha na nduguze kwaio hawawezi kujua
Mimi lengo langu ni utulivu tu sio kumbully hapana
Nampenda sana siwezi kumtesa kwa style hio


Binadamu hususan mtu mzima anao uhuru bafsi wa kujitambua na kujua anafanya nini, hicho ulichomfanyia, ninaweza kusema, ni ukiukaji wa haki za binadamu ili ujipatie furaha ndani ya nafsi yako, kama huyo mumeo alikuwa hawezi kubadilika ungetumia njia za kawaida kutafuta suluhu vinginevyo hicho ulichomfanyia ni kama mateso kwake na furaha kwako na hivyo ni wewe unachuma dhambi kwa kumfanya ndondocha/msukule mumeo.

Kwa lugha nyingine kama yeye alikuwa ni mkosefu kwako basi wewe umefanya makosa makubwa zaidi kumfanya ndondocha na kadiri atakavyokuwa hivyo ndio kadiri nawe utachuma dhambi.

Hiyo hatua uliyoichukuwa haina tofauti sana na utajiri wa kafara.
 


Duh
 
How it was started.
 
Sijamdhuru mtu nimemtuliza kunipenda ananipenda sana ila hana utulivu
Hata Mungu ananielewa sijamdhuru nataka utulivu tu sina nia ya kumgombanisha na nduguze au lingine lolote
Kukupenda ni jambo Moja...

Kukuvunjia heshima ni jambo lingine na haviendi sambamba na upendo.

Watu wanawapenda sana wake zao na wanachepuka Kwa tamaa zao ila ndani Kuna heshima mno.

Anayekupenda anakuheshimu pia.
 
Hatari! Sii mchezo....kumbe mnapenda de liboloz hamtaki kushare[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila kumfanya mwenzio asidindishe mbele ya mbususu zingine ni roho mbaya. Kwani wee unakosa nini huyo akigegeda mbususu nyingine?
Wanawake wabinafsi sn
Hawapendani hata wao kwa wao[emoji3]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ushirikina ni uovu....
 
Hahah unememgeuza ndondocha sio?🤣🤣🤣 Hongera Sana mwamba🤣🤣🤣
 
[emoji28][emoji28][emoji28]usinitishe sitishiki
Ndoa nyingi tu wanawake wanawatuliza wanaume
Wanaume punguzeni umalaya tufanye mambo ya maendeleo
Ndoa siikosi hii hadi kifo kitutenganishe
Safi sana best sasa hapo ili kumkomesha kwa sasa si hana kauli kwako hakikisha unamchuna mpaka utumbo yaani huyo akufungulie biashara kubwaa na majumba akujengee tena hakikisha chupa yake una ikaza kweli kweli hata akija kuzinduka huko wewe ushafanya vitu vya maendeleo🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…