Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

[emoji28][emoji28][emoji28]usinitishe sitishiki
Ndoa nyingi tu wanawake wanawatuliza wanaume
Wanaume punguzeni umalaya tufanye mambo ya maendeleo
Ndoa siikosi hii hadi kifo kitutenganishe
Ujinga mmoja ni kwamba kwa mganga kuna masharti. Sasa iko siku utajichanganya ndo utajua hujui. Shetani ni shetani. hajawahi kubadilika. Wewe umeamua dawa ya moto ni moto, subiri matokeo. Heri ungeniambia umeamua kufunga na kuomba au kwenda kwa mchungaji. Umechagua divine power ya shetani badala ya Mungu
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Hayo makombora yana mwisho wake..mrudie Mungu wako..muweke mmeo mbele za Mungu..

Bila kusahau kufanya yale yale au zaidi ya yale uliyokua unayafanya kipindi mnaoana...usisahau kupendeza kila muda..vua nguo nzuri..nukia vizuri...be romantic etc..halafu utarudi utafute hii komenti unipe hata hug tu..kumuweka kwenye chupa haisaidii kama unanuka,umechekaa,mchafu,haupo romantic n.ksawa hatakua na mchepuko ila hatakufanya uenjoy chochote maana havutiwi na wewe..

Save this comment..read it twice a day💪
 
Save this comment..read it twice a day[emoji123]
Nimeipenda
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Mroge tu hakuna namna, kayataka mwenyewe ila pesa iwepo ili mwendelee kuishi, hayo yakurogwa huwa wanayataka wenyewe, asiporogwa na mke lazima mahawala wamshikishe adabu, wewe roga tu.
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Ukute yeye mwenyewe (mume) anausoma huu uzi halafu hajui kama ndo yeye alie pigwa kimbola😁
 
Hauwezi kupata amani kwa kuroga, amini usiamini huo uchawi iko siku utakugeuka mpaka ukose pa kutokea,ungetafuta njia nyingine ya kutatua tatizo lakini si kujiingiza ktk ushirikina.
 
Hivi ni kwa nini wanaume masikini na wenye vihela vya mboga ndiyo hurogwa? Sijawahi kusikia don karogwa

Wanarogwa wanaume wote maskini na matajiri .

Mtaani na uswahilini wanawake wanaume zao ni jobless lakini kila mara ni mwendo wa kuvunja nazi Na kunywa na kuogea makombe [emoji108][emoji108]

Ingawa Mwanaume mwenye riziki hurogwa zaidi na wanawake [emoji108]

Na ndugu na watu baki.
 
Nikuhakikishie hizo dawa zikiisha utarudi hapa. Hilo joto uliloonja itakuawa mara kumi yake. Mind you mapenzi ya dawa huwa yana expire don't forget that.
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
kwahiyo wewe ukifa?
 
Matajiri hawarogwi kwa kuwa wapo sawa katika ulimwengu wa roho. Ukitupa bomu linakurudia.

Huyu wangu ana vichenji vya kubadili mboga siwezi kusema ni tajiri ila pesa ipo,ni muda sasa pesa hio isitoke nje wanawake wamdangie hio ni yangu na wanangu full stop
 
Kwanini usifikirie kujiimarisha kitabia zaidi?

Tafuta kujua kule nje anafuata kitu gani anachokikosa kwako nyumbani kwa mkewe ?

Ukikujua au kuvijua mfanyie wewe hapo nyumbani kwenu kama mkewe nakwambia hata taka tena kwenda nje Kwani atakuwa ameshashiba nyumbani kutoka kwako!

Hapo ndipo eneo mojawapo ambalo wanawake wa Kidigo hupawezea.
 
Tafuta kujua nje kwa michepuko anafuata nini?

Kama ni utulivu mpe wewe na sio makelele chungu nzima hapo nyumbani kwenu, lawama na visirani Kama vyote Mwanaume ni kama Roho Mtakatifu hakai mahala Penye makelele na kununanuna kila Wakati!

Mwanaume anapenda kuchekewa!

Kama ni huba jifunze azipate hapo nyumbani toka kwako ataacha kwenda nje!
 
Back
Top Bottom