Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

Mkuu umetumia vipimo gani au tafiti gani kuja na hiyo ratio of cheating btn wife and husband.

Ikiwa tafiti zote uonesha mwanaume anacheat zaidi kuliko mwanaume katika ndoa na hata nje ya ndoa(means mahusiano pasi na ndoa).na huu ni ukweli usiopingika mkuu.

Kuzingatia utafiti unaoonyesha kuwa wanaume u cheat kitakwimu mahali fulani kati ya 20% ya wakati, wakati wanawake wakicheat karibu 13% ya wakati huo.

Kuna uwezekano kuwa njia bora ya kufikiria wanaume wanacheat mara nyingi zaidi kuliko wanawake. Tafiti zingine zinarejelea tofauti hiyo ya asilimia kuwa 23% ya wanaume na 20% ya wanawake usaliti ndoa zao.

sisi tunacheat sana kaka mwanamke kucheat mpaka awe na hisia,ila si wanaume ni kiki moja tu chombo kwa hewa.mahali popote muda wowote tunakiwasha.
 
Sasa kama una mke why usiwe unaomba kila mda ambao unakuwa na hiyo hamu mkuu
Mkuu, mke hamalizi nyege, utamlaumu bure. Ni ww kujizuia tu. Kwenye mazingira yako nina hakika kuna warembo wengi wakijirahisisha utapata tabu mno kujizuia hata kama una mke na anakupa kila siku.
 
Mkuu, mke hamalizi nyege, utamlaumu bure. Ni ww kujizuia tu. Kwenye mazingira yako nina hakika kuna warembo wengi wakijirahisisha utapata tabu mno kujizuia hata kama una mke na anakupa kila siku.
Kutamani mtu mwingine tofauti na mkeo huko kujiendekeza pia...
😂😂😂😂😂😂😂
We pambana na huyo huyo uliyemuweka ndani .

Uliona anafaa kuliko wote ndio maana ukamuweka ndani...

Ukienda against hapo we una matatzo😂😂😂😂
 
Unakosea tena mkuu. Huchagui kutokuwa na tamaa, tamaa inakuja kama inavyokuja furaha na huzuni.

Suala ni unafanya nini na hiyo tamaa? Akipita mwanamke mrembo uchi mbele ya wanaume wawili mmoja kaoa mwingine hajaoa, wote watamtamani ila inatakiwa aliyeoa awe na self discpline.

Kwanza ili kufuta tatizo la kucheat lazima tuukubali ukweli kuwa binadamu tunapenda ngono ila tunatakiwa kujidhibiti.
 
Wapo wanawake wanaojitambua na kujiheshimu sana kiasi kwamba hawako tayari kwenda kujidhalilisha na miili yao huko kisa tu eti kulipiza kisasi maana kusema kweli hakuna anayelipizwa kisasi pale.
Nakubaliana na wewe katika hili, wapo kabisa wanaojiheshimu. Ila kuhusu wale walipa 'visasi' sikushawishi ukubaliane nami kuwa wapo Ila tambua hilo kundi la walipa 'visasi' lipo kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Nakubaliana na wewe katika hili, wapo kabisa wanaojiheshimu. Ila kuhusu wale walipa 'visasi' sikushawishi ukubaliane nami kuwa wapo Ila tambua hilo kundi la walipa 'visasi' lipo kabisa.
Mwanamke haujizuii kufanya ngono sababu mwanaume haifanyi, anajizuia sababu ya utii wa kiapo chake mbele ya MUNGU wake kuwa wewe utakuwa mume wake na mwili wake utautumia wewe tu, ndo maana tunashauriwa oeni wanawake wenye hofu ya kweli ya MUNGU. Mambo ya kulipiza kisasi ni ya wanawake wasio na hofu ya MUNGU na huyo hata asipopata sababu ya kulipiza kisasi atazini tu.
 
Na katika makabila mengi, kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ilikuwa ni ishara ya urijali na ukwasi.
Kuoa mke zaidi ya mmoja hii ipo sawa, hata Mungu mwenyewe hajazuia.

Ila hili la kucheat linaitwa uzinzi na uasherati, Yesu alikuwa mstari wa mbele kukemea na alishasema wazinzi hawataenda mbinguni.

Ni heri kuoa wake wengi kuliko kuwa cheater.
 
Unakosea tena mkuu. Huchagui kutokuwa na tamaa, tamaa inakuja kama inavyokuja furaha na huzuni.

Suala ni unafanya nini na hiyo tamaa? Akipita mwanamke mrembo uchi mbele ya wanaume wawili mmoja kaoa mwingine hajaoa, wote watamtamani ila inatakiwa aliyeoa awe na self discpline.

Kwanza ili kufuta tatizo la kucheat lazima tuukubali ukweli kuwa binadamu tunapenda ngono ila tunatakiwa kujidhibiti.
"""Kwanza ili kufuta tatizo la kucheat lazima tuukubali ukweli kuwa binadamu tunapenda ngono ila tunatakiwa kujidhibiti."""

😂😂😂😂😂😂😂😂

Daaah et tunapenda ngono
 
"""Kwanza ili kufuta tatizo la kucheat lazima tuukubali ukweli kuwa binadamu tunapenda ngono ila tunatakiwa kujidhibiti."""

😂😂😂😂😂😂😂😂

Daaah et tunapenda ngono
Ndo ukweli. Binadamu tunapenda ngono. Ngono kwetu si kwa ajili ya kuzaana tu ni starehe.
 
Mambo ya kulipiza kisasi ni ya wanawake wasio na hofu ya MUNGU na huyo hata asipopata sababu ya kulipiza kisasi atazini tu.
Mkuu ina maana hata wanaume wanaocheat huwa hawana hofu ya Mungu hivyo tatizo lipo kwao wote me na ke.
 
Back
Top Bottom