Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
-
- #41
Ndio ujue sasa "ukicheat mkeo naye wanacheat. Ukiacha kucheat mkeo naye anaacha kucheat".Sikuwah kujua kuwa cheating ni mashindano yan ukicheat na mkeo ana cheat ili a equalize scoreboard..aisee
Mkuu, nyege zinakuja tu, ni sehemu ya binadamu.Sasa kama una mke hizo nyege zinatokea wapi mpaka uka cheat
Mkuu, mke hamalizi nyege, utamlaumu bure. Ni ww kujizuia tu. Kwenye mazingira yako nina hakika kuna warembo wengi wakijirahisisha utapata tabu mno kujizuia hata kama una mke na anakupa kila siku.Sasa kama una mke why usiwe unaomba kila mda ambao unakuwa na hiyo hamu mkuu
Sawa zinakuja ila ushaoa kwani atakupangia au..?Mkuu, nyege zinakuja tu, ni sehemu ya binadamu.
utakufa vibaya wwIf you don't want your wife cheat on you - stop cheating.
Self discpline haitokani na ndoa. Ipo hata kabla ya ndoa. Kama nyege zikija hukuweza jizuia kabla ya ndoa usidhani ukishaoa utaweza. Pengine ndo ukashindwa kabisa.Sawa zinakuja ila ushaoa kwani atakupangia au..?
Kutamani mtu mwingine tofauti na mkeo huko kujiendekeza pia...Mkuu, mke hamalizi nyege, utamlaumu bure. Ni ww kujizuia tu. Kwenye mazingira yako nina hakika kuna warembo wengi wakijirahisisha utapata tabu mno kujizuia hata kama una mke na anakupa kila siku.
Huwa nakuaminia sana mchuchu wangu, hujawahiπ€£
Unakosea tena mkuu. Huchagui kutokuwa na tamaa, tamaa inakuja kama inavyokuja furaha na huzuni.Kutamani mtu mwingine tofauti na mkeo huko kujiendekeza pia...
πππππππ
We pambana na huyo huyo uliyemuweka ndani .
Uliona anafaa kuliko wote ndio maana ukamuweka ndani...
Ukienda against hapo we una matatzoππππ
Nakubaliana na wewe katika hili, wapo kabisa wanaojiheshimu. Ila kuhusu wale walipa 'visasi' sikushawishi ukubaliane nami kuwa wapo Ila tambua hilo kundi la walipa 'visasi' lipo kabisa.Wapo wanawake wanaojitambua na kujiheshimu sana kiasi kwamba hawako tayari kwenda kujidhalilisha na miili yao huko kisa tu eti kulipiza kisasi maana kusema kweli hakuna anayelipizwa kisasi pale.
Mwanamke haujizuii kufanya ngono sababu mwanaume haifanyi, anajizuia sababu ya utii wa kiapo chake mbele ya MUNGU wake kuwa wewe utakuwa mume wake na mwili wake utautumia wewe tu, ndo maana tunashauriwa oeni wanawake wenye hofu ya kweli ya MUNGU. Mambo ya kulipiza kisasi ni ya wanawake wasio na hofu ya MUNGU na huyo hata asipopata sababu ya kulipiza kisasi atazini tu.Nakubaliana na wewe katika hili, wapo kabisa wanaojiheshimu. Ila kuhusu wale walipa 'visasi' sikushawishi ukubaliane nami kuwa wapo Ila tambua hilo kundi la walipa 'visasi' lipo kabisa.
Kuoa mke zaidi ya mmoja hii ipo sawa, hata Mungu mwenyewe hajazuia.Na katika makabila mengi, kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ilikuwa ni ishara ya urijali na ukwasi.
"""Kwanza ili kufuta tatizo la kucheat lazima tuukubali ukweli kuwa binadamu tunapenda ngono ila tunatakiwa kujidhibiti."""Unakosea tena mkuu. Huchagui kutokuwa na tamaa, tamaa inakuja kama inavyokuja furaha na huzuni.
Suala ni unafanya nini na hiyo tamaa? Akipita mwanamke mrembo uchi mbele ya wanaume wawili mmoja kaoa mwingine hajaoa, wote watamtamani ila inatakiwa aliyeoa awe na self discpline.
Kwanza ili kufuta tatizo la kucheat lazima tuukubali ukweli kuwa binadamu tunapenda ngono ila tunatakiwa kujidhibiti.
Ndo ukweli. Binadamu tunapenda ngono. Ngono kwetu si kwa ajili ya kuzaana tu ni starehe."""Kwanza ili kufuta tatizo la kucheat lazima tuukubali ukweli kuwa binadamu tunapenda ngono ila tunatakiwa kujidhibiti."""
ππππππππ
Daaah et tunapenda ngono
Mkuu ina maana hata wanaume wanaocheat huwa hawana hofu ya Mungu hivyo tatizo lipo kwao wote me na ke.Mambo ya kulipiza kisasi ni ya wanawake wasio na hofu ya MUNGU na huyo hata asipopata sababu ya kulipiza kisasi atazini tu.
Kabisa.Mkuu ina maana hata wanaume wanaocheat huwa hawana hofu ya Mungu hivyo tatizo lipo kwao wote me na ke.
Hili swala la kupenda ngono.. umelikamia sana mkuu πππππππNdo ukweli. Binadamu tunapenda ngono. Ngono kwetu si kwa ajili ya kuzaana tu ni starehe.
Si unajua tatizo letu kubwa linalozaa matatizo mengine ni unafiki esp linapokuja suala la kujamiiana. Kuna watu ukiwatizama utadhani hawana sehemu za siri ila huko gizani sasa.Hili swala la kupenda ngono.. umelikamia sana mkuu πππππππ