Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

Nataka kujua chaguo lako litakuwa lipi kati ya hayo mawili
Mwanamke akinicheat nampiga chini kwangu ilo kosa halina msamaha, hata yeye pia akijua nimemcheat achague kunipiga chini au kunisamehe maisha yaendelee akiamua kulipiza kisasi ilo ni kosa tofauti kwaiyo nikigundua nampiga chini vile vile
 
Na ukimpiga chini baki kuwa single daddy milele 😂
 
Back
Top Bottom