Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

Tuanze hii mada kwa kutafuta majibu ya haya maswali matatu

●Kwa nini wanawake wanashindwa kuwapiga chini wanaume wasaliti kama wanaume wengi wanavyofanya kwa wanawake wasaliti?

●Kwa nini kisasi cha mwanamke aliyesalitiwa ni kugawa mbunye kwa wanaume wengine?

●Kwa nini kisasi cha mwanaume aliyesalitiwa sio kutafuta mwanamke mwngine bali ni kumwacha mwanamke msaliti?

Naomba majibu ya hayo maswali matatu halafu ndio tuanze mjadala
 
●Kwa nini wanawake wanashindwa kuwapiga chini wanaume wasaliti kama wanaume wengi wanavyofanya kwa wanawake wasaliti?
Baadhi ya wanawake ni waoga hivyo hupotezea wsnaposalitiwa.

Lakini wapo pia majasiri wasiopenda unyonge yaani ukimsaliti tu anakupiga chini.

●Kwa nini kisasi cha mwanamke aliyesalitiwa ni kugawa mbunye kwa wanaume wengine?
Ni hasira tu na kuponya machungu ndio huwafanya(baadhi yao) wafanye hivyo.
●Kwa nini kisasi cha mwanaume aliyesalitiwa sio kutafuta mwanamke mwngine bali ni kumwacha mwanamke msaliti?
Kumwacha mwanamke ni uamuzi tu na kumsamehe ni uamuzi pia, maamuzi hutegemea na moyo wa mwanaume ulivyo, kwa mfano Masanja mkandamizaji moyo wake haukumkubalia kumpiga chini Monica baada katibu kuingilia ndoa yake,alimsamehe Monica.
 
Reactions: _ly
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu
🀣🀣🀣🀣 mnapendana vitu gani bana kila mtu yuko busy kukimbiza muda uliobaki wa kuishi duniani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Apa unataka kusemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…