BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Ukipenda kula vitu mlivyoteka Nyara vitani,Nenda vitani,sio ukae nyumbani na familia yako, walioenda kupambana wakirudi nawewe unufaike na mgao!
G55 nguvu zao zielekezwe kupinga uchaguzi usio wa haki uliosababisha watu kadhaa kupoteza Maisha na wengine Mali zao na kupata ulemavu.
Watu wengine hatuoni umuhimu wa kuandikisha au kupiga kura kwakuwa washindi wameandaliwa, G55 jipambanue Kwa hayo,sio kutaka ubunge na ruzuku na maridhiano feki.