Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
inapendeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imeenda hii imeenda 😅😅😅😅hii imeenda
Kwani midume haipikagi?Mashoga huwa mnamatusi. Nliona uzi flani. Hakuna mwanaume anaweza kuwa na maneno ya hivi akabaki mwanaume. Umeenda kupika?
Kapigwe mtungo uje ushushe tena thread humu, 😆😆😆Sewa wewe..... Sema wakusikie
we unafikiri Mi ni jinsia gani ?😆😆😆Jibu bas [emoji1787][emoji1787]
we unafikiri Mi ni jinsia gani ?[emoji38][emoji38][emoji38]
Mi ni Mwanamume wewe na hizo ishu ilikuwa miaka hiyo unakuwa na multiple IDs kwa ajili ya fujo tu humu maana kipindi hicho JF ilikuwa inaendeshwa virtually 😂😂😂Si utaje nawe!!? Mwanzo nilijua me ulivyoanza kuleta kale kastory ka kula vocha nikahisi ke!!!
Sasa nihakikishie best [emoji3]
Mi ni Mwanamume wewe na hizo ishu ilikuwa miaka hiyo unakuwa na multiple IDs kwa ajili ya fujo tu humu maana kipindi hicho JF ilikuwa inaendeshwa virtually [emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo humu lakini naona haiingii tena maana JF imekuwa smooth mnoo. Nilikunywa kahawa na deserts tu pale maana alikuwa na kikao na mheshimiwa raisi wa sasa kule Zanzibar, yeye alikuwa na mabodigadi wanne sio mtu wa mchezomchezo aisee 😂😂😂Okay, sasa yule mzee uliyeenda kuonana nae serena mlikuwaje kuwaje yaani hapo sijaelewa [emoji12]
Yupo humu lakini naona haiingii tena maana JF imekuwa smooth mnoo. Nilikunywa kahawa na deserts tu pale maana alikuwa na kikao na mheshimiwa raisi wa sasa kule Zanzibar, yeye alikuwa na mabodigadi wanne sio mtu wa mchezomchezo aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani kama JF ya kipindi kile ilikuwa na utoto mwingi kama huu, kwanza hata watu kukutana ilikuwa ni ishu ngumu. Always maandishi ya Ke yanajulikana na ya Me yanajulikana kabisa.Nia ya kukutana na wewe ilikuwa nini?!! Na alijua km we ni me? Na pm mliwai kutongozana?!!
Hii imeeenda kabisahii imeenda
mzabzab rickboy hutaki kuwaona?1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki
Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije.
Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili yanajua kutiana tu labda. Halina mvuto lipo lipo tu ila labda limepata vijicent kidogo so linakuwa na ujeuri sana.
Bill Lugano anaonekana mkaka mstaarabu sana. Msafi anajipenda. Hana ugomvi na very romantic kwa kweli. Sijawahi soma akimtukana mtu au akijibishana na mtu vibaya. Hata kuwatukana wanawake. Siyo kama lichizi maarifa lilivyo.
Gentamycine anaonekana atakuwa mweusi, mfupi, anakitambi kikubwa. Mnene anajipenda sana. Anapenda kuonekana kwenye kundi la watu. Mbishi hapendi kuambiwa kitu amekosea. Akiwa na demu wake ana wivu sana.
Deepond naye mstaarabu ila tu ana michepuko sana. But si mgomvi ana utulivu anaweza kuwa maji ya kunde na kimo cha wastani. Anavaa vizuri pia.
Hao ni wanaume ambao binafsi natamani niwaone nione ufanano wanachoandika na mwonekano wao. Maana kuna mambo mtu anaandika mpaka unawaza atakuaje huyu mtu? Nimeangalia wanaume sababu mimi ni jinsia ya tofauti nao
Ooooh .... Na kuna mwingine Komeo Lachuma huyu anaishi kwa shemeji yake. Nadhani kamaliza form six ila alifail kijijini so hakuendelea na chuo. Kisha akaona maisha ya kule kijijini magumu akaja kuishi kwa dada yake mjini. Anataka kuchukua mademu kupitia hali nzuri ya shemeji na dada yake. Atakuwa mweusi , mrefu wa wastani. Mwembamba nyangema. Ila ana ushamba kiasi flani. Ana ujinga mwingi pia. Maana anaishi na kulishwa na dada yake. Hafikirii kuanzisha maisha yake.
Kuna wakati nawasoma watu sana kisha naanza kujenga picha watakuaje hao watu katika maisha halisi. Najiwazia tu kutokana na wanachoandika
Yuko obsessed na hao alowataja usimpangie 🤣🤣🤣
Mungu Kwanza na mengine baadae.Umetisha sana, Mkuu
Nakubali sana ur respond