Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuja bibie. Mimi kama ulivyosema ni mpole sana. Nina utulivu mkubwa, sina maringo, nawapenda wote, nimejishusha mpaka usawa wa kiuno wako. Nikuelekeze napoweza patikana?1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki
Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije.
Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili yanajua kutiana tu labda. Halina mvuto lipo lipo tu ila labda limepata vijicent kidogo so linakuwa na ujeuri sana.
Bill Lugano anaonekana mkaka mstaarabu sana. Msafi anajipenda. Hana ugomvi na very romantic kwa kweli. Sijawahi soma akimtukana mtu au akijibishana na mtu vibaya. Hata kuwatukana wanawake. Siyo kama lichizi maarifa lilivyo.
Gentamycine anaonekana atakuwa mweusi, mfupi, anakitambi kikubwa. Mnene anajipenda sana. Anapenda kuonekana kwenye kundi la watu. Mbishi hapendi kuambiwa kitu amekosea. Akiwa na demu wake ana wivu sana.
Deepond naye mstaarabu ila tu ana michepuko sana. But si mgomvi ana utulivu anaweza kuwa maji ya kunde na kimo cha wastani. Anavaa vizuri pia.
Hao ni wanaume ambao binafsi natamani niwaone nione ufanano wanachoandika na mwonekano wao. Maana kuna mambo mtu anaandika mpaka unawaza atakuaje huyu mtu? Nimeangalia wanaume sababu mimi ni jinsia ya tofauti nao
Ooooh .... Na kuna mwingine Komeo Lachuma huyu anaishi kwa shemeji yake. Nadhani kamaliza form six ila alifail kijijini so hakuendelea na chuo. Kisha akaona maisha ya kule kijijini magumu akaja kuishi kwa dada yake mjini. Anataka kuchukua mademu kupitia hali nzuri ya shemeji na dada yake. Atakuwa mweusi , mrefu wa wastani. Mwembamba nyangema. Ila ana ushamba kiasi flani. Ana ujinga mwingi pia. Maana anaishi na kulishwa na dada yake. Hafikirii kuanzisha maisha yake.
Kuna wakati nawasoma watu sana kisha naanza kujenga picha watakuaje hao watu katika maisha halisi. Najiwazia tu kutokana na wanachoandika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Kipindi hicho mimi nilikuwa najifanya niko MATURED basi nikawa naandika points tu jamiiforums, nanukuu vifungu vya biblia na kuchati kwa staha.
Baadaye nikagundua kumbe nina FAKE MATURITY halafu pia UJINGA NI MTAMU.
Hakuna kitu kinalipa kama kuwa MJINGAAA, ni raha ya ajabuuuuu.
Alienda kuzibuliwa mtaro.Okay, sasa yule mzee uliyeenda kuonana nae serena mlikuwaje kuwaje yaani hapo sijaelewa [emoji12]
Alienda kuzibuliwa mtaro.
Huwezi kuwa dume ukaenda kukutana na dume lenzakoooo bila kufumuliwa spika.
NIMEHAMUKA KWA STAHA.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119] My wizo akee umeamka?!!
NIMEHAMUKA KWA STAHA.
Lakini tayari umeeleweka. Ulichojieleza kinatosha. Umeeleweka😂😂😂😂 Cute Wife we Mpana sana kama dela. 😆
Tafuta furaha ya kweli sio Sifa za humu mtandaoniAlienda kuzibuliwa mtaro.
Huwezi kuwa dume ukaenda kukutana na dume lenzakoooo bila kufumuliwa spika.
Kwamba ni wakoChangu hilo mkuu,
Kaa chonjo
Haya Ushajua tayari though kizazi cha mtandaoni kina ujuaji mwingi mnooo 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si nataka kujua jamani bro
manyanza kumbe ulikuaga catfish😂 lipa vocha za watuTafuta furaha ya kweli sio Sifa za humu mtandaoni
I’d yangu ya vurugu ilikuwa inaitwa King Julien na ya kupigia vocha ilikuwa inaitwa Lora 😅😂😅manyanza kumbe ulikuaga catfish😂 lipa vocha za watu
BICHWA KOMWEE , hata kama ni mtandaoni na hatujuwani lakini sio busara na nimekuona ni mtu wa ajabu sana bila sababu kuandika matusi huku ukinishambulia sio fair kabisa.Alienda kuzibuliwa mtaro.
Huwezi kuwa dume ukaenda kukutana na dume lenzakoooo bila kufumuliwa spika.
Mimi Sijawahi ona comment zake za zamani ila kuhusu mzabzab Sijawahi kuamini anachoondika ndicho anachoishi sijui kwani Nini!nahisigi ni mtu wa makuzi tuSijawahi kuonana nae lakini believe me...kuna threads za mwaka 2011 I bet, nilikuta comments zake. Ni mtu mzima, mwenye akili zake, anaejitambua. Huyu anaejiportay hapa si yeye..na sielewag why he does this. Kule alikua anaandika vitu sensible mpaka nikawa siamini kama huyu wa miaka hii ndo yule kule. Maybe people change anyways.