Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

Usijali mkuu wewe ukiwa na muda nicheki pm nikutumie namba tutafutane tuzungumze,maisha ndiyo haya haya na kama vijana ni lazima tushirikishane fursa za kimaisha mwanangu
Tatizo lako mtu akiwa serious nawewe unamringia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unavyomuelewa sasa!! Hivi alikupa mzigo wako?
Huyu hajui kama sie wazaramo,tunaweza msimanga mpaka damu zimtoke puani🤣🤣🤣🤣mwambie baby wako namuheshimu
 
Back
Top Bottom