Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
😀😀😀😀😀😀feat notThitaaaki utanogewa unibebee mazima [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀😀feat notThitaaaki utanogewa unibebee mazima [emoji23][emoji23]
Ataanza kula ndio ale,au atakula kwanza ndio ale🤣?Nampikia ale kisha ale
Avatar ya jakayakwajili ya nini mkuu
😀😀😀sasa je atachagua yeyeAtaanza kula ndio ale,au atakula kwanza ndio ale🤣?
Ndio Mimi huyo ,vipi umenipenda au gauni langu la kanisani limekuudhi?
Aiseee kucheza na shemeji Yako ni sawa na kucheza remote ya kinu Cha nyuklia,nakushauri achana nar atakula tu Kwa mama lishe😀😀😀sasa je atachagua yeye
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]feat not
Huo mshono nimeupenda,umepoa kama operesheni ya ubongoNdio Mimi huyo ,vipi umenipenda au gauni langu la kanisani limekuudhi?
🤣 ni katika kuweka msisitizo tuh mkuuAvatar ya jakaya
Nampikia ale kisha ale
Okay na yeye mtoa mada anataka akuone pia.🤣 ni katika kuweka msisitizo tuh mkuu
Andaa mtoko basi Jack🙇Natamani sana nikuone rafiki[emoji4]
Hilo tu limepita😊Andaa mtoko basi Jack🙇
Huyo mshono unaitwa"Binti Sayuni".Huo mshono nimeupenda,umepoa kama operesheni ya ubongo
Naandaa figo😂😂😂Hilo tu limepita😊
Andaa detox juice kabisaNaandaa figo😂😂😂
🤣🤣🤣Haswaa!maana balaa lako ni zitoAndaa detox juice kabisa
Siwezi nakuapia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe unataka kufanya mapinduzi