Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

Nimekuja bibie. Mimi kama ulivyosema ni mpole sana. Nina utulivu mkubwa, sina maringo, nawapenda wote, nimejishusha mpaka usawa wa kiuno wako. Nikuelekeze napoweza patikana?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kuna wakaka nawapenda humu sema sitaki kukutana nao maana picha nlizo nazo kichwani acha zibaki hivihivi😁😁😁
 
Mimi Sijawahi ona comment zake za zamani ila kuhusu mzabzab Sijawahi kuamini anachoondika ndicho anachoishi sijui kwani Nini!nahisigi ni mtu wa makuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…