ππππππfeat notThitaaaki utanogewa unibebee mazima [emoji23][emoji23]
Ataanza kula ndio ale,au atakula kwanza ndio aleπ€£?Nampikia ale kisha ale
Avatar ya jakayakwajili ya nini mkuu
πππsasa je atachagua yeyeAtaanza kula ndio ale,au atakula kwanza ndio aleπ€£?
Ndio Mimi huyo ,vipi umenipenda au gauni langu la kanisani limekuudhi?
Aiseee kucheza na shemeji Yako ni sawa na kucheza remote ya kinu Cha nyuklia,nakushauri achana nar atakula tu Kwa mama lisheπππsasa je atachagua yeye
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]feat not
Huo mshono nimeupenda,umepoa kama operesheni ya ubongoNdio Mimi huyo ,vipi umenipenda au gauni langu la kanisani limekuudhi?
π€£ ni katika kuweka msisitizo tuh mkuuAvatar ya jakaya
Nampikia ale kisha ale
Okay na yeye mtoa mada anataka akuone pia.π€£ ni katika kuweka msisitizo tuh mkuu
Andaa mtoko basi JackπNatamani sana nikuone rafiki[emoji4]
Hilo tu limepitaπAndaa mtoko basi Jackπ
Huyo mshono unaitwa"Binti Sayuni".Huo mshono nimeupenda,umepoa kama operesheni ya ubongo
Naandaa figoπππHilo tu limepitaπ
Andaa detox juice kabisaNaandaa figoπππ
π€£π€£π€£Haswaa!maana balaa lako ni zitoAndaa detox juice kabisa
Siwezi nakuapia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe unataka kufanya mapinduzi