Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
Sijawahi kuonana nae lakini believe me...kuna threads za mwaka 2011 I bet, nilikuta comments zake. Ni mtu mzima, mwenye akili zake, anaejitambua. Huyu anaejiportay hapa si yeye..na sielewag why he does this. Kule alikua anaandika vitu sensible mpaka nikawa siamini kama huyu wa miaka hii ndo yule kule. Maybe people change anyways.πππ
Me nasubiri tu mzee mweusi mwenye kitambi chake aje online
Me naetamani kumuona ni mzabzab nione anayoyaandika yanafanana na yeye au ni nini
Kwa sisi tuliosoma Cuba tushaelewa umeshoboka na bill lugano anavyojisifia ana mihela. Hao wengine umewaweka boshen tu. Ngoja ukakopwe1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki
Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije.
Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili yanajua kutiana tu labda. Halina mvuto lipo lipo tu ila labda limepata vijicent kidogo so linakuwa na ujeuri sana.
Bill Lugano anaonekana mkaka mstaarabu sana. Msafi anajipenda. Hana ugomvi na very romantic kwa kweli. Sijawahi soma akimtukana mtu au akijibishana na mtu vibaya. Hata kuwatukana wanawake. Siyo kama lichizi maarifa lilivyo.
Gentamycine anaonekana atakuwa mweusi, mfupi, anakitambi kikubwa. Mnene anajipenda sana. Anapenda kuonekana kwenye kundi la watu. Mbishi hapendi kuambiwa kitu amekosea. Akiwa na demu wake ana wivu sana.
Deepond naye mstaarabu ila tu ana michepuko sana. But si mgomvi ana utulivu anaweza kuwa maji ya kunde na kimo cha wastani. Anavaa vizuri pia.
Hao ni wanaume ambao binafsi natamani niwaone nione ufanano wanachoandika na mwonekano wao. Maana kuna mambo mtu anaandika mpaka unawaza atakuaje huyu mtu? Nimeangalia wanaume sababu mimi ni jinsia ya tofauti nao
Ooooh .... Na kuna mwingine Komeo Lachuma huyu anaishi kwa shemeji yake. Nadhani kamaliza form six ila alifail kijijini so hakuendelea na chuo. Kisha akaona maisha ya kule kijijini magumu akaja kuishi kwa dada yake mjini. Anataka kuchukua mademu kupitia hali nzuri ya shemeji na dada yake. Atakuwa mweusi , mrefu wa wastani. Mwembamba nyangema. Ila ana ushamba kiasi flani. Ana ujinga mwingi pia. Maana anaishi na kulishwa na dada yake. Hafikirii kuanzisha maisha yake.
Kuna wakati nawasoma watu sana kisha naanza kujenga picha watakuaje hao watu katika maisha halisi. Najiwazia tu kutokana na wanachoandika
Kumbe mzabzab ni dingi ila anajitoa akiliSijawahi kuonana nae lakini believe me...kuna threads za mwaka 2011 I bet, nilikuta comments zake. Ni mtu mzima, mwenye akili zake, anaejitambua. Huyu anaejiportay hapa si yeye..na sielewag why he does this. Kule alikua anaandika vitu sensible mpaka nikawa siamini kama huyu wa miaka hii ndo yule kule. Maybe people change anyways.
πππ
Kuna sehemu na sehemu anaandika mambo ya maana ila kuna threads zingine anachangia mambo ambayo unaogopa hata kusoma mbele za watu.Sijawahi kuonana nae lakini believe me...kuna threads za mwaka 2011 I bet, nilikuta comments zake. Ni mtu mzima, mwenye akili zake, anaejitambua. Huyu anaejiportay hapa si yeye..na sielewag why he does this. Kule alikua anaandika vitu sensible mpaka nikawa siamini kama huyu wa miaka hii ndo yule kule. Maybe people change anyways.
Hata kama uko na ufupi na kitambi ndio uweke hiyo avatar ya hivo mkuuπHuyu ni mimi kabisa.
Mbona Mshana Jr hujamtaja, Hutaki uone vile anavaa suti nyeundu na kofia zile za Mamwinyi!1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki
Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije.
Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili yanajua kutiana tu labda. Halina mvuto lipo lipo tu ila labda limepata vijicent kidogo so linakuwa na ujeuri sana.
Bill Lugano anaonekana mkaka mstaarabu sana. Msafi anajipenda. Hana ugomvi na very romantic kwa kweli. Sijawahi soma akimtukana mtu au akijibishana na mtu vibaya. Hata kuwatukana wanawake. Siyo kama lichizi maarifa lilivyo.
Gentamycine anaonekana atakuwa mweusi, mfupi, anakitambi kikubwa. Mnene anajipenda sana. Anapenda kuonekana kwenye kundi la watu. Mbishi hapendi kuambiwa kitu amekosea. Akiwa na demu wake ana wivu sana.
Deepond naye mstaarabu ila tu ana michepuko sana. But si mgomvi ana utulivu anaweza kuwa maji ya kunde na kimo cha wastani. Anavaa vizuri pia.
Hao ni wanaume ambao binafsi natamani niwaone nione ufanano wanachoandika na mwonekano wao. Maana kuna mambo mtu anaandika mpaka unawaza atakuaje huyu mtu? Nimeangalia wanaume sababu mimi ni jinsia ya tofauti nao
Ooooh .... Na kuna mwingine Komeo Lachuma huyu anaishi kwa shemeji yake. Nadhani kamaliza form six ila alifail kijijini so hakuendelea na chuo. Kisha akaona maisha ya kule kijijini magumu akaja kuishi kwa dada yake mjini. Anataka kuchukua mademu kupitia hali nzuri ya shemeji na dada yake. Atakuwa mweusi , mrefu wa wastani. Mwembamba nyangema. Ila ana ushamba kiasi flani. Ana ujinga mwingi pia. Maana anaishi na kulishwa na dada yake. Hafikirii kuanzisha maisha yake.
Kuna wakati nawasoma watu sana kisha naanza kujenga picha watakuaje hao watu katika maisha halisi. Najiwazia tu kutokana na wanachoandika
Mi nakwambia kuna thread ya zamni nikamfatilia mpaka nikasema hata sio kweli..huyu si mzabzab. Ila ndo mambo hayo.Kuna sehemu na sehemu anaandika mambo ya maana ila kuna threads zingine anachangia mambo ambayo unaogopa hata kusoma mbele za watu.
People change sometimes ila kwake ni balaaππ
Namba 2 πππππ1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki
Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije.
Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili yanajua kutiana tu labda. Halina mvuto lipo lipo tu ila labda limepata vijicent kidogo so linakuwa na ujeuri sana.
Bill Lugano anaonekana mkaka mstaarabu sana. Msafi anajipenda. Hana ugomvi na very romantic kwa kweli. Sijawahi soma akimtukana mtu au akijibishana na mtu vibaya. Hata kuwatukana wanawake. Siyo kama lichizi maarifa lilivyo.
Gentamycine anaonekana atakuwa mweusi, mfupi, anakitambi kikubwa. Mnene anajipenda sana. Anapenda kuonekana kwenye kundi la watu. Mbishi hapendi kuambiwa kitu amekosea. Akiwa na demu wake ana wivu sana.
Deepond naye mstaarabu ila tu ana michepuko sana. But si mgomvi ana utulivu anaweza kuwa maji ya kunde na kimo cha wastani. Anavaa vizuri pia.
Hao ni wanaume ambao binafsi natamani niwaone nione ufanano wanachoandika na mwonekano wao. Maana kuna mambo mtu anaandika mpaka unawaza atakuaje huyu mtu? Nimeangalia wanaume sababu mimi ni jinsia ya tofauti nao
Ooooh .... Na kuna mwingine Komeo Lachuma huyu anaishi kwa shemeji yake. Nadhani kamaliza form six ila alifail kijijini so hakuendelea na chuo. Kisha akaona maisha ya kule kijijini magumu akaja kuishi kwa dada yake mjini. Anataka kuchukua mademu kupitia hali nzuri ya shemeji na dada yake. Atakuwa mweusi , mrefu wa wastani. Mwembamba nyangema. Ila ana ushamba kiasi flani. Ana ujinga mwingi pia. Maana anaishi na kulishwa na dada yake. Hafikirii kuanzisha maisha yake.
Kuna wakati nawasoma watu sana kisha naanza kujenga picha watakuaje hao watu katika maisha halisi. Najiwazia tu kutokana na wanachoandika
Umechelewa kunifahamu dogo na sio ye34nbe ni YE67NBE ππππye34nbe kama ye34nbe
Don't believe anything in the internet niliwahi sikia yupo tcra kwenye branch kubwa kubwa tuSijawahi kuonana nae lakini believe me...kuna threads za mwaka 2011 I bet, nilikuta comments zake. Ni mtu mzima, mwenye akili zake, anaejitambua. Huyu anaejiportay hapa si yeye..na sielewag why he does this. Kule alikua anaandika vitu sensible mpaka nikawa siamini kama huyu wa miaka hii ndo yule kule. Maybe people change anyways.
TISS yule anawachota akili tuDon't believe anything in the internet niliwahi sikia yupo tcra kwenye branch kubwa kubwa tu
Kuonana au kumuona Gentamycine unatafuta matatizo.1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki
Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije.
Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili yanajua kutiana tu labda. Halina mvuto lipo lipo tu ila labda limepata vijicent kidogo so linakuwa na ujeuri sana.
Bill Lugano anaonekana mkaka mstaarabu sana. Msafi anajipenda. Hana ugomvi na very romantic kwa kweli. Sijawahi soma akimtukana mtu au akijibishana na mtu vibaya. Hata kuwatukana wanawake. Siyo kama lichizi maarifa lilivyo.
Gentamycine anaonekana atakuwa mweusi, mfupi, anakitambi kikubwa. Mnene anajipenda sana. Anapenda kuonekana kwenye kundi la watu. Mbishi hapendi kuambiwa kitu amekosea. Akiwa na demu wake ana wivu sana.
Deepond naye mstaarabu ila tu ana michepuko sana. But si mgomvi ana utulivu anaweza kuwa maji ya kunde na kimo cha wastani. Anavaa vizuri pia.
Hao ni wanaume ambao binafsi natamani niwaone nione ufanano wanachoandika na mwonekano wao. Maana kuna mambo mtu anaandika mpaka unawaza atakuaje huyu mtu? Nimeangalia wanaume sababu mimi ni jinsia ya tofauti nao
Ooooh .... Na kuna mwingine Komeo Lachuma huyu anaishi kwa shemeji yake. Nadhani kamaliza form six ila alifail kijijini so hakuendelea na chuo. Kisha akaona maisha ya kule kijijini magumu akaja kuishi kwa dada yake mjini. Anataka kuchukua mademu kupitia hali nzuri ya shemeji na dada yake. Atakuwa mweusi , mrefu wa wastani. Mwembamba nyangema. Ila ana ushamba kiasi flani. Ana ujinga mwingi pia. Maana anaishi na kulishwa na dada yake. Hafikirii kuanzisha maisha yake.
Kuna wakati nawasoma watu sana kisha naanza kujenga picha watakuaje hao watu katika maisha halisi. Najiwazia tu kutokana na wanachoandika
Hahaha danga tu hili namuonea huruma sanaKwa sisi tuliosoma Cuba tushaelewa umeshoboka na bill lugano anavyojisifia ana mihela. Hao wengine umewaweka boshen tu. Ngoja ukakopwe
Hii imeenda kabisa!hii imeenda
Mtume kuna ushuhuda huku.....