Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki

Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije.

Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili yanajua kutiana tu labda. Halina mvuto lipo lipo tu ila labda limepata vijicent kidogo so linakuwa na ujeuri sana.

Bill Lugano anaonekana mkaka mstaarabu sana. Msafi anajipenda. Hana ugomvi na very romantic kwa kweli. Sijawahi soma akimtukana mtu au akijibishana na mtu vibaya. Hata kuwatukana wanawake. Siyo kama lichizi maarifa lilivyo.

Gentamycine anaonekana atakuwa mweusi, mfupi, anakitambi kikubwa. Mnene anajipenda sana. Anapenda kuonekana kwenye kundi la watu. Mbishi hapendi kuambiwa kitu amekosea. Akiwa na demu wake ana wivu sana.

Deepond naye mstaarabu ila tu ana michepuko sana. But si mgomvi ana utulivu anaweza kuwa maji ya kunde na kimo cha wastani. Anavaa vizuri pia.

Hao ni wanaume ambao binafsi natamani niwaone nione ufanano wanachoandika na mwonekano wao. Maana kuna mambo mtu anaandika mpaka unawaza atakuaje huyu mtu? Nimeangalia wanaume sababu mimi ni jinsia ya tofauti nao

Ooooh .... Na kuna mwingine Komeo Lachuma huyu anaishi kwa shemeji yake. Nadhani kamaliza form six ila alifail kijijini so hakuendelea na chuo. Kisha akaona maisha ya kule kijijini magumu akaja kuishi kwa dada yake mjini. Anataka kuchukua mademu kupitia hali nzuri ya shemeji na dada yake. Atakuwa mweusi , mrefu wa wastani. Mwembamba nyangema. Ila ana ushamba kiasi flani. Ana ujinga mwingi pia. Maana anaishi na kulishwa na dada yake. Hafikirii kuanzisha maisha yake.

Kuna wakati nawasoma watu sana kisha naanza kujenga picha watakuaje hao watu katika maisha halisi. Najiwazia tu kutokana na wanachoandika

Profile picha zinakupoteza
 
Sijawahi kuonana nae lakini believe me...kuna threads za mwaka 2011 I bet, nilikuta comments zake. Ni mtu mzima, mwenye akili zake, anaejitambua. Huyu anaejiportay hapa si yeye..na sielewag why he does this. Kule alikua anaandika vitu sensible mpaka nikawa siamini kama huyu wa miaka hii ndo yule kule. Maybe people change anyways.
Itakuwa alipigwa tukio kubwa sana. Akabadili mtazamo wa mambo alivyokuwa akiyachukulia
 
😆😆😆
Me nasubiri tu mzee mweusi mwenye kitambi chake aje online
Me naetamani kumuona ni mzabzab nione anayoyaandika yanafanana na yeye au ni nini
Vitu viwili tofauti kabisa..mie by nature ni mpole, indoors type of guy na ata hizo mbususu sijui zinafananaje🤣🤣🤣🤣.
Ila uwongo mbaya mie kweli nina kibamia
 
Mfupi, mweusi...
20230205_181233.jpg
 
1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki

Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije.

Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili yanajua kutiana tu labda. Halina mvuto lipo lipo tu ila labda limepata vijicent kidogo so linakuwa na ujeuri sana.

Bill Lugano anaonekana mkaka mstaarabu sana. Msafi anajipenda. Hana ugomvi na very romantic kwa kweli. Sijawahi soma akimtukana mtu au akijibishana na mtu vibaya. Hata kuwatukana wanawake. Siyo kama lichizi maarifa lilivyo.

Gentamycine anaonekana atakuwa mweusi, mfupi, anakitambi kikubwa. Mnene anajipenda sana. Anapenda kuonekana kwenye kundi la watu. Mbishi hapendi kuambiwa kitu amekosea. Akiwa na demu wake ana wivu sana.

Deepond naye mstaarabu ila tu ana michepuko sana. But si mgomvi ana utulivu anaweza kuwa maji ya kunde na kimo cha wastani. Anavaa vizuri pia.

Hao ni wanaume ambao binafsi natamani niwaone nione ufanano wanachoandika na mwonekano wao. Maana kuna mambo mtu anaandika mpaka unawaza atakuaje huyu mtu? Nimeangalia wanaume sababu mimi ni jinsia ya tofauti nao

Ooooh .... Na kuna mwingine Komeo Lachuma huyu anaishi kwa shemeji yake. Nadhani kamaliza form six ila alifail kijijini so hakuendelea na chuo. Kisha akaona maisha ya kule kijijini magumu akaja kuishi kwa dada yake mjini. Anataka kuchukua mademu kupitia hali nzuri ya shemeji na dada yake. Atakuwa mweusi , mrefu wa wastani. Mwembamba nyangema. Ila ana ushamba kiasi flani. Ana ujinga mwingi pia. Maana anaishi na kulishwa na dada yake. Hafikirii kuanzisha maisha yake.

Kuna wakati nawasoma watu sana kisha naanza kujenga picha watakuaje hao watu katika maisha halisi. Najiwazia tu kutokana na wanachoandika
Mimi hapa no 1
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
Unauza?
Sh ngapi,..
Pia shida si picha maana naujua muonekano wake ni mweusi na urefu wa wastani.

Nahitaji kubadilishana nae mawazo,nina ya kujifunza kupitia yeye.
Unaweza kum follow na pia anashindaga uzi wa vituko mtandaoni jf kamcheki kule

Picha ya uso wake nauza 10k sema ndiyo tuzame pm chap unitumie hela 😅😅

Oy Shimba ya Buyenze mdogo wako Mshana Jr anahitajika huku mkuu, mshtue aje chap 😁😁😁
 
Unaweza kum follow na pia anashindaga uzi wa vituko mtandaoni jf kamcheki kule

Picha ya uso wake nauza 10k sema ndiyo tuzame pm chap unitumie hela [emoji28][emoji28]

Oy Shimba ya Buyenze mdogo wako Mshana Jr anahitajika huku mkuu, mshtue aje chap [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe ana ndugu zake hapa,..
Ndio wewe na huyo Shimba ya Buyenze basi mfikishieni salamu kaka yenu.,mwambieni silali siamki.

Picha yake sihitaji nataka nipige nae story za ana kwa ana.,anajua mambo mengi sana.

Hivi kumbe pm kuna miamala hufanywa huko.
 
Back
Top Bottom