Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

Mbona Mshana Jr hujamtaja, Hutaki uone vile anavaa suti nyeundu na kofia zile za Mamwinyi!
Dah [emoji23]
e765c890a0a77d96d51a92fc5aeb53f0.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja hapo ukitaka kumwona nenda kwenye maduka ya kubeti. Ukiona mtu anafika kavaa tai na suti anaenda kwenye fixture, dakika 2 kashachukua timu 3 anaenda kwa cashier anatoa kibunda ili kufyatua mkeka kisha anaondoka, basi ujue huyo ndio mwana JF unayemtafuta sasa.
Atakuwa ni nani kati yao?
 
Sijawahi kuonana nae lakini believe me...kuna threads za mwaka 2011 I bet, nilikuta comments zake. Ni mtu mzima, mwenye akili zake, anaejitambua. Huyu anaejiportay hapa si yeye..na sielewag why he does this. Kule alikua anaandika vitu sensible mpaka nikawa siamini kama huyu wa miaka hii ndo yule kule. Maybe people change anyways.
Evolution ......
 
Don't believe anything in the internet niliwahi sikia yupo tcra kwenye branch kubwa kubwa tu
Mwanaume unashobokea wanaume wenzio... Heeeeh.... Hatari siku hizi bora tu uzae mtoto wa kike. Yaani una taarifa za wanaume wenzio na unasema kabisa NILIWAHI SIKIA..... mweeeeeeh.... We huna malinda. Huna kabisa. Usibishe. Hiyo sauti ya kike..... Looooooh.
 
Mwanaume unashobokea wanaume wenzio... Heeeeh.... Hatari siku hizi bora tu uzae mtoto wa kike. Yaani una taarifa za wanaume wenzio na unasema kabisa NILIWAHI SIKIA..... mweeeeeeh.... We huna malinda. Huna kabisa. Usibishe. Hiyo sauti ya kike..... Looooooh.
Polee rafiki

vipi bado unatafuta wanaume wenye magari wakutongoza,

Nishakuambia hawajiuzi hivyo mbona umechachuka hivyo au una njaa pole rafiki,

Wenzako walikuja hivyo tukawaumbua mchana kweupe na ban juuuu,

Omba notes upewe utakuja kuanzishiwa thtead ya udangaji, nakuonea huruma sana

Na avatar yako ya ku download ushachakazwa mtaani umekosa soko, instagram, facebook na snapchat umeamua kuja humu pole yako

Tena ukute unatumia id ya kike utafokolewa nyuma uhongwe ice-cream za bakhresa hawa dangi hivyo humu


Omba notes upewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, polee
 
Unaweza kum follow na pia anashindaga uzi wa vituko mtandaoni jf kamcheki kule

Picha ya uso wake nauza 10k sema ndiyo tuzame pm chap unitumie hela 😅😅

Oy Shimba ya Buyenze mdogo wako Mshana Jr anahitajika huku mkuu, mshtue aje chap 😁😁😁
We nawe kwa kupenda kutaka waambukiza wanaume magonjwa.... Yaani unajaza picha za wanaume tu ukiwatamani..... Hao sijui kama wanatumia hayo mauchafu yako. Hujisikii aibu kutamba una picha za wanaume? Khaaaaaah..... Mfyu.....
 
Dah,..
Umenifanya nitabasamu.
Kumbe kuna mengi humu..,kwahiyo mtu akifanyiwa hayo uliyotaja anakuja kukusimulia?
Au wewe ndiye mfanyaji?

Unaniwazisha ujue,[emoji848]
Hujui? Huyo ni shoga.... We msome tu kwenye huu uzi . Utamwona. Na mpaka anakwambia ana picha zao hao watajwa..... Hatari humu.... Si salama kabisa.
 
Back
Top Bottom