Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

We nawe kwa kupenda kutaka waambukiza wanaume magonjwa.... Yaani unajaza picha za wanaume tu ukiwatamani..... Hao sijui kama wanatumia hayo mauchafu yako. Hujisikii aibu kutamba una picha za wanaume? Khaaaaaah..... Mfyu.....
Hujisikii aibu kujiuza jf, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Umekosa app zingine zenye wateja tele au huna mvuto umeamua kutuwekea avatar ya ku download

Sikia ukitoka period uniambie inaweza hata pedi huna, sema usaidiwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
 
Kwa mujibu wa Ma Mshuza huyu ndo GENTAMYCINE
FymD4PRXoAg2xlx.jpeg
 
Hujisikii aibu kujiuza jf, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Umekosa app zingine zenye wateja tele au huna mvuto umeamua kutuwekea avatar ya ku download

Sikia ukitoka period uniambie inaweza hata pedi huna, sema usaidiwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
Shoga linacheka cheka tu huku nyuma linadondosha maji. Hakuna mwanaume anacheka cheka na kubishana na wanawake. Hamna.
 
Hujui? Huyo ni shoga.... We msome tu kwenye huu uzi . Utamwona. Na mpaka anakwambia ana picha zao hao watajwa..... Hatari humu.... Si salama kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, umetoa mimba ngapi mpaka saizi 😝😝😝😝,

Unaogopa hutongozwi 🤣🤣🤣🤣🤣, una njaa ya mahusiano mpaka umeamua kuanzisha thread kabisa duuuuh

Kwahiyo umeona ukiwatag ndo watakufuata inbox wakutongozee, najua kilomita zimesoma huna jipya na bwawa lako,

Umepigwa juu chini, una sononeka jinsi unavyotumiwa kama tissue na kutupwa chooni,

Pole sio kila mwanamke anafaa kuolewa nyie wengine endeleeni kusukuma gurudumu la kuwa dampo la shahawa zetu 🤣🤣🤣🤣🤣,
 
Vijana wako wanakupaisha balaa,
Atakuwa mwijaku huyo
Kabisa mwijaku kabisaaaaaa na ni kijana wake.... Umepatia. Umeona ambavyo amecheka kufurahia? Lakini sidhani mshana anatumia hayo maboga mabovu.
 
1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki

Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije.

Huyu chizi maarifa nahisi atakuwa ni yale maanaume makorofi yenye sura mbaya mababe, hayana sana akili yanajua kutiana tu labda. Halina mvuto lipo lipo tu ila labda limepata vijicent kidogo so linakuwa na ujeuri sana.

Bill Lugano anaonekana mkaka mstaarabu sana. Msafi anajipenda. Hana ugomvi na very romantic kwa kweli. Sijawahi soma akimtukana mtu au akijibishana na mtu vibaya. Hata kuwatukana wanawake. Siyo kama lichizi maarifa lilivyo.

Gentamycine anaonekana atakuwa mweusi, mfupi, anakitambi kikubwa. Mnene anajipenda sana. Anapenda kuonekana kwenye kundi la watu. Mbishi hapendi kuambiwa kitu amekosea. Akiwa na demu wake ana wivu sana.

Deepond naye mstaarabu ila tu ana michepuko sana. But si mgomvi ana utulivu anaweza kuwa maji ya kunde na kimo cha wastani. Anavaa vizuri pia.

Hao ni wanaume ambao binafsi natamani niwaone nione ufanano wanachoandika na mwonekano wao. Maana kuna mambo mtu anaandika mpaka unawaza atakuaje huyu mtu? Nimeangalia wanaume sababu mimi ni jinsia ya tofauti nao

Ooooh .... Na kuna mwingine Komeo Lachuma huyu anaishi kwa shemeji yake. Nadhani kamaliza form six ila alifail kijijini so hakuendelea na chuo. Kisha akaona maisha ya kule kijijini magumu akaja kuishi kwa dada yake mjini. Anataka kuchukua mademu kupitia hali nzuri ya shemeji na dada yake. Atakuwa mweusi , mrefu wa wastani. Mwembamba nyangema. Ila ana ushamba kiasi flani. Ana ujinga mwingi pia. Maana anaishi na kulishwa na dada yake. Hafikirii kuanzisha maisha yake.

Kuna wakati nawasoma watu sana kisha naanza kujenga picha watakuaje hao watu katika maisha halisi. Najiwazia tu kutokana na wanachoandika

IMG_7886.jpg
 
Shoga linacheka cheka tu huku nyuma linadondosha maji. Hakuna mwanaume anacheka cheka na kubishana na wanawake. Hamna.
Sawa danga, ila jua huku tunajua michezo yenu yote endelea, kuporomosha thread tu,

Wanawake wanaojielewa hawako hivyo yaani unaamzisha kabisa thread ohh sitongozwi

Eti unataka ukutane na midume ya humu, huko mtaani kwenu au kwenye familia yenu hamna watu wa maana mpaka uje humu, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ohhh nimekumbuka inaonyesha jinsi ulivyo low class na jinsi gani unataka upapatikiwe na wanaume 🤣🤣🤣🤣,

Una nini cha kutoa ww, una nn hilo tumbua lako lenye UTI na bwawa 😅😅😅😅😅😅

Njoo kivingine rafiki nakumbiaje tumeshtuka, tumeshtuka 😆😆😆

HAIBIWI MTU HAPA
 
Mkuu acha kujidharirisha .
 
Back
Top Bottom