Wanaume waliopanga wana enjoy sana

Wanaume waliopanga wana enjoy sana

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Heshima yangu iwaendee wale Wanaume ambao wana pambana na maisha Nonstop nazungumzia wale wote waliopanga wanalipa kodi za nyumba, walioa, na wale wanaolea watoto. Mungu aendelee kuwajaliaa sana.

Nirudi kwenye mada kesi yangu, kwa life la hapa bongo kama Mwanaume una chumba na sebule masta, jiko seblen umejaza mazaga kama flat screen yako safi, home thieta mziki mnene, una makochi yako na meza bila sahau zulia safi lipo chini, tunakuja kwenye fridge umejaza makula kula kama mikuku, misamaki, minyamanyama ya kutosha bila sahau mavinywaji yote.

Pembeni umepaki kausafiri kako kakusaidia mishe/harakati zako amini kwamba wanaume wa dizaini hii wanashobokewa sana na Mademu kma pisi wanazila sana tena bila kutumia nguvu imagine dem wako anaenda kwa jamaa wa dizain hii afu wewe unakaa home tu hesabu maumivu[emoji23][emoji23]. Tena usiombe uwe na Ndinga CROWN asee watoto wanashoboka sana. Au nasema uongo ndugu zangu?[emoji23]

TUTAFUTE HELA SANA
 
Kwa hyo unafanya hayo yote ili ushobokewe
Yan mimi naona effort unayoweka kutafuta hiyo status ni kubwa sana ukilinganisha na malipo unayoyategemea ya kushobokewa na pisi kali hizo
 
Naachaje kumshobokea KWA MFANO[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]ntamganda mpaka asahau kwao alaaa[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mseleleko

Bora wewe umesema ukweli
 
Back
Top Bottom