wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!


jamani am so worried!
 
Naomba bint uelewe kwamba unawez ukawa na mtu ambae unaona mnaendana kidogo halafu
utamtengeneza unavyotaka wewe kama unajiona uko juu sana unamwinua kama ni elimu watu
wanasoma hwazaliwi na elimu.
kama vipi ni pm tuongee zaidi
 
Ina mana bado uko sealed?

Love is not living with some1 u LOVE, but some1 you cant live without.
 

Nimekuelewa lakini mfano mtu ukiwa na vission mfano baadae ufungue kampuni labda ya consultancy hivi ukipata mwenzio ambaye mtaweza kusaidiana ktk hilo ni vizuri zaidi kuliko mwenzio haelewi chochote hata ushauri kidogo hawezi kukupa sasa itabidi uende kwa watu wengine na utatumia muda mwingi kuwa karibu na hao watu hii inaweza leta problem hata ktk ndoa, inawezekana nakosea.
 
jamani am so worried!
soledad
Ukweli unaelekea kwenye umri mbaya sana kwa maisha ya sasa, visichana vya 18 years old ndio viko sokoni na utakuta unayemtaka wewe kwa umri wako kuna mawili, either ameshaoa au yuko kwenye serious relationship na Mwanamke mwingine.

Ni vigumu sana kwa Mwanaume mwenye miaka 35 awe yupo yupo tu si kweli na unajidangana mwenyewe, maana wewe unatakiwa uolewe na Mwanaume wa umri huo, so watch out.
 
Last edited by a moderator:
Ina mana bado uko sealed?

Love is not living with some1 u LOVE, but some1 you cant live without.

i know that luv is not living with some one u love but some one u can't live without and to add ni kwamba yule ninayempenda natakiwa nifikirie nitamfanyia nini na sio kutegemea na kutaka yeye anifanyie nini ila to me i think
WATU HAWAWI PAMOJA KWAAJILI YA LILE TENDO PEKEE KUNA VINGINE ZAIDI YA HILO ukiwa na mtu kwaajili ya mapenzi ya chumbani tu mkishamaliza ya chumbani mnafanya nini? unashangaa mnatofautiana kila kitu isipokuwa on bed!
 
Brother quimby_joey nakuona hapa we huyo dada unamuelewa? kama una vigezo jirushe mkuu ila uissahau kumuambia unapenda ujasusi.
 
they mighty be very decent and caring fathers thats why!
 
Kula tano..wewe una hekima na bonge la mshauri

Naomba bint uelewe kwamba unawez ukawa na mtu ambae unaona mnaendana kidogo halafu
utamtengeneza unavyotaka wewe kama unajiona uko juu sana unamwinua kama ni elimu watu
wanasoma hwazaliwi na elimu.
kama vipi ni pm tuongee zaidi
yaani umenigusa kuna mtu ame ni propose tangu 2009 hadi leo hakunivutia cuz nikikaa naye am smarter than him almost in everything!
 
utachukua muda mwingi sana kusubiri wa kufanana nae....chukua hatua ukimwona unaefanana nae wewe mtongoze halafu uone.
 
Hana lolote huyo ni nunganyembe tu anajifanya kutaka ushauri kumbe ndo anatafva mwanaume ungekuwa m'ke wa maana ungekuwa ushapana bwana subiri w'me wasiojua kutongoza wataku pm

thanks
 
kwani we una status gani? au unamaanisha nini hapo kwenye status? jiangalia mama unaweza kufuka 50yrs ukakuta hakuna hata wa kukupa salamu...endelea tu na chaguachagua yako uone kimbembe chake..kuna wenzako wanalia hata salamu hawapati...utaishia yaleyale kuvaa serengeti boys at 50yrs....at ur age ulitakiwa kuwa na stable relationship au hata km huna basi unakuwa uko flexible na sio mambo yako ya status..endelea kungoja wa status yako mama kila la kheri Inshaallah!
 
you are very wrong gari ni nini? i mean busara na hekima thank you kwa maoni yako i get something
 

thats true your lover is not your business partnet ni zaidi ya hapo.....................nahisi unahofu sana na ndoa,unaweza kuweka vigezo vya mtu unayempneda lakini sidhani kama tofauti ktk proffesionalisim sio tatzo,soleda i kno your history but may be psychologically kuna vitu viko kwenye akili yako na ndo vinakufanya pengine ufikirie hivyo,ndoa/mapenzi yanajengwa na watu wawili wenye upendo juu yao,....believe in love and everything will work just ok,take this from me,infact ndo ni baina ya watu wawili walioutaambua udhaifu na upungufu wao kibinadamu na wamuamua kuishi pamoja kusupplement each other,wewe unajua bcs yeye hajui lakini anajua kingine na maisha yanaenda tu........attitue yako ni tofauti kuhusu ndoa you need to work on it.......all ze best....
 
Nafikiri umewaona ambao mnaweza kuongea lugha moja,usisite kumwambia anaweza akakukubali au na yeye akasema ww si wa status yake.Sasa ni zama za uwazi na ukweli na wala si dhambi kumwambia m2 nakupenda usubiri majibu
 
Wanaume wengi wa siku hizi shule matatizo, ambayo inadhuru hata thinking.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…