Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Nimependa hiyo dedication
 
Na tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa😂

Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.

Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.
Ukipakwa mafuta makalioni uje utuambie pia
 
Heshima yako [emoji2772]
 
Na tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa😂

Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.

Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.
Kama unamuamini Mungu ndoa ni jambo lake na haliwezi kuwa batili,ni batili kwa wanaoamini upinde
 
KATIKA SBABU ZAKO SABA YA KWANZA UKO SAHIHI , ZILIZOBAKI UKO KWENYE HISIA ZAIDI, HAZINA UHALISIA.

JE KWA NINI WANAUME WENGI KWA SASA WAMEKATA TAMAA YA KUOA?
JE NDOA ZA SASA NI KUSUDIO LA MUNGU? AU NI MAPOKEO
JE FAIDA ZA KUOA NI ZIPI NA HASARA ZA KUTO OA NI ZIPI? KIUCHUMI, KIMWILI,NA KIIMANI?

KWA UANDISHI WAKO HUU,INA MAANISHA MWANAMKE ASIYE NA NDOA ANA HASARA ZAIDI.

KIBIBLIA KUTO KUOA SIO KOSA.
1 Wakorintho 7:1-25
Naam, ni vizuri kama mtu haoi; lakini kwa sababu ya hatari ya uzinzi, basi, kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe

SASA KAMA UMEOA,KUOLEWA NA BADO UNACHEPUKA TOFAUTI YAKO NA WASIO NA NDOA NI NINI?

UKIISHA FANYA MAPENZI NA MWANAMKE, TAYARI KIMWILI NA KIROHO MMEUNGANISHWA
1 Wakorintho 6:16
Maandiko yanasema, “Watu wawili watakuwa mmoja.” Hivyo mnapaswa kujua kuwa kila aliyeungana na kahaba, amekuwa mwili mmoja na kahaba.

KWAMBA WENGI WANAISHI NA WAUME ZA WENGINE, WAKE ZA WENGINE
THAMANI YA MWANAMKE IKO KWENYE UCHI, UKIISHA UONA NA KUUTUMIA, HATA BAADA YA KUOLEWA KWAKE BADO UTAENDELA KUUTUMIA.NA NDIO MAANA MARA ZOTE ALIYE OLEWA ANARUDIA KUCHEPUKA NA ALIYEMVULIA NGUO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…