Wanaume wanaoogopa wake zao ni washamba na wanakera

Wanaume wanaoogopa wake zao ni washamba na wanakera

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Sijui kwa wengine ila kwa kweli mwanaume yoyote awe ndugu yangu au rafiki WA kiume ambae Hana maamuzi yoyote Hadi kitu kifike kwa mkewe ndo akaamue yaani huwa wananikera.sisemi ni vibaya kushirikishana mke na mume hapana .Ila bakisheni chenji kama wanaume mtanishukuru baadae.

Kuna utopolo mmoja alikuwa na shida flani akaniomba nimsaidie kwa.mtu flani Niko nae close issue Tu ya maana kabisa yaani life changing issue..nikamuambia poa nitaongea na.muhusika then nitakurudia.
Nikaongea na muhusika..akakubali baada ya ushawishi mno yaani.

Nikaja kumtafuta jamaa kwenye mida ya jioni hivi saa moja kasoro jioni hivi hakupokea .nikapiga tena saa mbili hakupokea.

Kesho yake saa nne asubuhi akanitafuta kwanza akaniambia wewe miss ni marufuki kunipigia simu ovyo ovyo mwisho saa kumi na moja jioni.jamani nilijiskia vibaya Sana kwanza mtu mwenyewe sio mzuri ni wale wa dakika za jioooni,hela zenyewe Hana ndo Hadi apewe michongo na madanga yetu,nahisi hata kibamia kimeweka makao pale full tafrani yaani.

Akasema mke.wangu ni mkaliii ananichunga mno.nikataka kumuuliza anachunga nini hapo sasa.nilichoka wakuu.

Nikamuambia kata simu Niko busy nakurudia.

Nikampigia Yule boss nikamuomba radhi kwa kumsumbua Ile issue Yule mtu ashapata kazi ingine hatoweza kuifanya aendelee Tu na watu wengine asije nisubirie akaniona mswahili siku ingine nikakosa msaada kwake.
Jamaa akipiga simu hata sipokei na sitoblock atahaha sana
 
Sijui ni nini, binafsi sipendi calls za colleagues baada ya saa 12 jioni.. kama hatuna ushost hata wa kuvizia nitakutafuta pakikucha. Yan nimeitune mpk mashost wa kazini wanajua nalala saa 2 🤣🤣

Tutapitwa na deals za kina Miss Natafuta 😁😁 ila muda wa kazi ukiisha hapana jamani. Kunae life lingine liendelee
 
Sijui ni nini, binafsi sipendi calls za colleagues baada ya saa 12 jioni.. kama hatuna ushost hata wa kuvizia nitakutafuta pakikucha. Yan nimeitune mpk mashost wa kazini wanajua nalala saa 2 🤣🤣

Tutapitwa na deals za kina Miss Natafuta 😁😁 ila muda wa kazi ukiisha hapana jamani. Kunae life lingine liendelee
No kweli sio sawa kupigiana simu mida hyo bila sababu.ila emergency zipo jamani .ndo maana huzimi simu yako.
 
Si ndiyo feminists wanavyotaka, kuwageuza wanaume wanawake na vice versa!
 
Back
Top Bottom