Wanaume wanaoogopa wake zao ni washamba na wanakera

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hivi mtu akichukizwa na jambo au kuumizwa na mtu ni mbio mbio jf kutapika nyongo

Huu ni umbea tu mtafutaji

Bado hujapata tu
 
Nyumba ndogo mna hasira sana aliyekujibu kunya ni mwanaume ila uzi umejaa masimango kwa mkewe!

😀😀

Wanawake wengi wenu mnachukiana tukiwaambia hamtaki. Adui WA Mwanamke ni Mwanamke mwenzake.

Kikawaida MTU kama Huna Dharura yoyote hutakiwi kumpigia Simu MTU MWINGINE tena mwenye familia yake basa ya Sana moja jioni
 
Kulinda ndoa yake ni kitu kibaya? Huenda kwako unaona huo ni udhaifu basi mlinde na udhaifu wake wa kupelekeshwa na mkewe.

Kûna Muda WA Kazi na Muda wa mambo mengine Kwa weñye familia Muda WA usiku ni Muda WA Familia
Labda itokee emergency hizô zinajulikana.

Lakini Kwa MTU anayejitambua Huwezi mpigia Simu Mke/Mume WA MTU usiku tena WA jinsia tofauti na wéwe Kwa kisingizio cha Kazi n hakuna Dharura. Kwa ishu àmbayo ingeweza kusubiri Kesho yake
 
Lakini hakuheshimu na kukupenda kama huyo jamaa anavyomheshimu Mkewe.
Angekuwa anafanya hivyo huyo jamaaako usingeshindwa kuelewa hoja ya jamaa aliyekushushua na kukuona hujielewi.
Kimsingi ulichowasilisha ni povu la wivu

Umemsoma vizuri.. huyu hasira yake ni kuwa jamaa pamoja na yeye kuhangaika lakini alijali zaidi ndoa yake . Wivu sio mzuri.
 
Unaonekana ulikuwa unamtaka, kakukataa unaanza kutoka mapovu.
 
Atakua ni mvulana wa mkoani, ushamba ni mwingi sana hapo
 
😀😀

Wanawake wengi wenu mnachukiana tukiwaambia hamtaki. Adui WA Mwanamke ni Mwanamke mwenzake.

Kikawaida MTU kama Huna Dharura yoyote hutakiwi kumpigia Simu MTU MWINGINE tena mwenye familia yake basa ya Sana moja jioni
Kwakweli hatupendani, yani wazinguane wao ila lawama asilimia 80 kaangushiwa mke, sijaona kosa la mkewe hapo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…