Wanaume wanaoogopa wake zao ni washamba na wanakera


Labda malezi ya u-single mother effects
 
Sijaona kosa la huyo kaka umemkasirikia bure tu. Hata kama mtu ana shida lkn ungemuelewa kwanza aina ya maisha anayoishi wakati ujao usipige tena simu usiku yeye ni mume wa mtu na mkewe hataki hizo mambo. Mbona ni kitu rahisi sana.

Ama ulikua na mambo yako mengine hapa umetuficha? si kwa hilo povu.
 
“nikataka kumuuliza anachunga nini hapo sasa”

Bwana kuwa na huruma Miss Natafuta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
uwe unanipigia mimi mkuu
 
wewe ni mmoja wapo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…