DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
Pole kwa kukosa bikra mkuudon't worry...it is last one
Ila maisha lazima yaenda hata yakienda mrama
Pole kwa kukosa bikra mkuudon't worry...it is last one
Kwani kua humu toka 2008 ndio sababu.. Kwamba kila utakachokiandika ni sahihi au watu wote lazima wakikubali.. Come on.. Ingekua hivyo leo wasanii wote wa 2009 na below before Diamond wangekua matajiri au mbali kuliko Diamond.. Kwa hiyo hicho sio kigezo mkuuniko humu tangia 2008 usidhanie siijui JF,kisha mimi na wewe nawaachia wanajamii nani mwenye hoja za kiduwanzi,now Ciao...
Katika watu wenye busara wewe dada namba moja, sio kwenye uzi huu tu bali kila sehemu nikikutana na mchango wako lazima uandike point.. Sema huyu mwingine ni mwepesi sana wa kupanic.. Tena hiki ulichokiandika hapa ndio sawa na kile kile nilichoeleza hapo juu kidogoUzuri wa haya mambo wala hamna haja ya kubishana mitandaoni kuhusu umuhimu wa bikra au bikra ndio heshima au wanawake gani ndio wanaoolewa kati ya bikra na wasio bikra.
Raha ya social media, mtu anaweza kuongea kitu ambacho yeye mwenyewe hakiishi. Ni sawa na wale wa "vijiweni" wanatambiana "mimi mke wangu haniendeshi akijaribu tuu naua", ukimkuta sasa mbele ya mke wake, mdogo kama "piritoni".
Uzuri ni kwamba nyingi hapa ni tambo tuu ila ukiuliza ni wangapi waliooa wameoa "bikra" ni 2%. Watu wanaoa wanawake wanaliokuwa wanajiuza, watu wameoa waliokuwa wacheza porn maarufu na bado wamewapa good life kama "malkia". Halafu leo mtake watu wajihisi wapweke kisa sio bikra?
Fuatilieni hata ndoa zinazofungwa siku hizi, harusi kubwa kubwa zinazoteka miji, bibi harusi ana ma "ex" zaidi ya kumi na bado kaolewa kwa heshima zote.
Haya mambo yaongeeni mitandaoni kama debate tuu, ila kiuhalisia[emoji4][emoji4] wanaume wanaoa, hata kama sio wewe ila wenzako wanaoa na kutunza juu.
Kwani kua humu toka 2008 ndio sababu.. Kwamba kila utakachokiandika ni sahihi au watu wote lazima wakikubali.. Come on.. Ingekua hivyo leo wasanii wote wa 2009 na below before Diamond wangekua matajiri au mbali kuliko Diamond.. Kwa hiyo hicho sio kigezo mkuu
Na bahati mbaya si mimi tu, ingekua kwangu peke yangu ningeonekana labda mimi ndio nina tatizo lakini nimefuatulia toka huko juu mtu atakayepingana mawazo yako kwa hoja unakimbilia kusema don't waste my time ([emoji23][emoji23][emoji23]) mara nakuweka kwenye ignore list.. Me nilidhani mheshimiwa peke yake ndio hataki kukosolewa kwa maana ya (ku challenge wa) kumbe mpo wengi..
Age is just a number tu, sio kisa upo humu toka 2008 basi utakua right kwa kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume anatafuta hela na sio bikira, maana kuoa bikira hakumzuii mwanamke wako kuchepuka ila ukiwa na hela angalau unakuwa na full maamuzi japo atachepuka lakini ukiamua kufukuza unapata mwingine kirahisi, lakini kama huna hela akikusaliti unaomba msamaha ww halafu confidence hauna.
Note: naposema hela simaanishi uwe kama Bilgate hapana bali hela tu yakukidhi mahitaji yake na angalau apendeze kwa hela zako hata kama ana zake.
Wakuliwa ataliwa tu, hata malaya alikuwa bikira
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wanasema wakati unatafuta ela basi usisahau kuishi.. (Huko kwenye kutokusahau kuishi ndio wengine wanatumia ku pursue hao ma bikra)Mwanaume anatafuta hela na sio bikira, maana kuoa bikira hakumzuii mwanamke wako kuchepuka ila ukiwa na hela angalau unakuwa na full maamuzi japo atachepuka lakini ukiamua kufukuza unapata mwingine kirahisi, lakini kama huna hela akikusaliti unaomba msamaha ww halafu confidence hauna
Note: naposema hela simaanishi uwe kama Bilgate hapana bali hela tu yakukidhi mahitaji yake na angalau apendeze kwa hela zako hata kama ana zake.
Wakuliwa ataliwa tu, hata malaya alikuwa bikira
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sitamani hata kuisikia bikira.
The more experienced the better.
Achana na mwanamke anayejua nini anafanya kitandani, ni mtamu kuliko kawaida.
Bikra is useless in my opinion. Imekaa kiukandamizaji na objectification ya mwanamke kuwa thamani yake inapungua kila anaposhiriki tendo.
Also, size ya uke haiwi influenced na frequency ya mwanamke kushiriki tendo.
Bikra ina thamani yake, na hakuna mwanaume asiyependa kuoa bikra, wala mwanamke asiyependa kuolewa bikra. Bikra ni kiashiria cha ujitunzaji wa mwanamke na kuuthamini mwili wake. Kwa kweli ni heshima sana iki kitu. Sema ndo ivyo kila mtu ameitoa kwa mazingra yake.Bikra ina thamani yake, na hakuna mwanaume asiyependa kuoa bikra, wala mwanamke asiyependa kuolewa bikra. Bikra ni kiashiria cha ujitunzaji wa mwanamke na kuuthamini mwili wake. Kwa kweli ni heshima sana iki kitu. Sema ndo ivyo kila mtu ameitoa kwa mazingra yake.
Lakini kwa upande mwngine, swala la kusema kuwa nikioa bikra ndiyo Nitafurahia ndoa na ndiyo nitammiliki peke yangu huyo mwanamke, si kweli kabisa. Ndoa ni kitu kigumu sn na inahtj hekima ili kuweza kukabili changamoto za ndoa. Unaweza ukambikir kwnye ndoa na bd akapata tamaa nje na akagegedwa nje vzr tu. Ww km hutomridhisha vzr , siku akipt wa kumridhisha nakwambia hutaamini km ndo yule uliyemtoa bikra mwnyw. Kwa hili muombe Mungu sn awajaalie hekima na busara kulitambua.
Na vile vile, hao mnaowasema kuwa mmetolewa na watu na mkatupwa tu bila kuolewa, kwani si ni nyie nyie ambao mnawabikiri? Na kuwaacha?. Km mnaijua thamani yake kwanini mnawabikiri alafu mnawaacha?, unapombikiri mtt wa watu may be upo chuo kwnn kesho yake usitangaze ndoa na ukaoa hiyo bikra?. Lkn mnashindwa kujiamini na ni waoga mnawaacha wadada wa watu. Wanawake ambao hawana bikra nao Wanathamani kubwa sana, tena wengine hata hawana vibakuli km mnavyosema kulingana na huo utafiti wenu. Mwanamke tabia, heshima, nidhamu, kujitambua nafasi yake ndiyo sifa ya mwanamke. Bikra pia ni kiongezeo cha kujitunza mwanamke, na si kwamba ukioa bikra ndy atakuwa na hizo tabia.
Nilichoona apa ni kuwa wanaume mnaogopa kusalitiwa, na si kwamba mnaiyona thamani ya mwanamke kuwa bikra na mnatakiwa kuiheshimu bikra. Lkn nyie ni waoga wa kusalitiwa, kuibiwa. Tambua kuwa ukishamfungua hiyo njia, umewafungulia na wengine, km huyo mwanamke bikra asipojiheshimu na kujitambua thamani yake yeye km mwanamke. Acheni uoga wanaume, sawa tafuta bikra mana ndiyo heshima ya mwanamke lkn angalia tabia ya huyo mwanamke. Na si kwamba wanaume wote wamewaoa waliowatoa bikra, au wanaume wote wamepata nafasi ya kutoa bikra, hapana.
Wapo waliooa wasio bikra na ndoa zimedumu vzr tu. La msingi omba tu Mungu akujaalie mke mwema bs. ( Wanawake bikra ni heshima ya mwanamke na kuna raha yake unaptolewa bikra na mumeo. Na kuna raha yake unapoolewa na alokubikiri). Lkn ktk maisha ndo ivyo mambo yakitokea yametokea. Tumuombe Mungu azd kutusaidia wanadamu tuwe na mioyo ya kufikiri zaidi.
Ndo ukweli huo mkuu.Bikra ina thamani yake, na hakuna mwanaume asiyependa kuoa bikra, wala mwanamke asiyependa kuolewa bikra. Bikra ni kiashiria cha ujitunzaji wa mwanamke na kuuthamini mwili wake. Kwa kweli ni heshima sana iki kitu. Sema ndo ivyo kila mtu ameitoa kwa mazingra yake.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Well said mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani katika comments zote, yako pekee ndo nimeweza kusoma mpaka mwisho.Bikra ina thamani yake, na hakuna mwanaume asiyependa kuoa bikra, wala mwanamke asiyependa kuolewa bikra. Bikra ni kiashiria cha ujitunzaji wa mwanamke na kuuthamini mwili wake. Kwa kweli ni heshima sana iki kitu. Sema ndo ivyo kila mtu ameitoa kwa mazingra yake.
Lakini kwa upande mwngine, swala la kusema kuwa nikioa bikra ndiyo Nitafurahia ndoa na ndiyo nitammiliki peke yangu huyo mwanamke, si kweli kabisa. Ndoa ni kitu kigumu sn na inahtj hekima ili kuweza kukabili changamoto za ndoa. Unaweza ukambikir kwnye ndoa na bd akapata tamaa nje na akagegedwa nje vzr tu. Ww km hutomridhisha vzr , siku akipt wa kumridhisha nakwambia hutaamini km ndo yule uliyemtoa bikra mwnyw. Kwa hili muombe Mungu sn awajaalie hekima na busara kulitambua.
Na vile vile, hao mnaowasema kuwa mmetolewa na watu na mkatupwa tu bila kuolewa, kwani si ni nyie nyie ambao mnawabikiri? Na kuwaacha?. Km mnaijua thamani yake kwanini mnawabikiri alafu mnawaacha?, unapombikiri mtt wa watu may be upo chuo kwnn kesho yake usitangaze ndoa na ukaoa hiyo bikra?. Lkn mnashindwa kujiamini na ni waoga mnawaacha wadada wa watu. Wanawake ambao hawana bikra nao Wanathamani kubwa sana, tena wengine hata hawana vibakuli km mnavyosema kulingana na huo utafiti wenu. Mwanamke tabia, heshima, nidhamu, kujitambua nafasi yake ndiyo sifa ya mwanamke. Bikra pia ni kiongezeo cha kujitunza mwanamke, na si kwamba ukioa bikra ndy atakuwa na hizo tabia.
Nilichoona apa ni kuwa wanaume mnaogopa kusalitiwa, na si kwamba mnaiyona thamani ya mwanamke kuwa bikra na mnatakiwa kuiheshimu bikra. Lkn nyie ni waoga wa kusalitiwa, kuibiwa. Tambua kuwa ukishamfungua hiyo njia, umewafungulia na wengine, km huyo mwanamke bikra asipojiheshimu na kujitambua thamani yake yeye km mwanamke. Acheni uoga wanaume, sawa tafuta bikra mana ndiyo heshima ya mwanamke lkn angalia tabia ya huyo mwanamke. Na si kwamba wanaume wote wamewaoa waliowatoa bikra, au wanaume wote wamepata nafasi ya kutoa bikra, hapana.
Wapo waliooa wasio bikra na ndoa zimedumu vzr tu. La msingi omba tu Mungu akujaalie mke mwema bs. ( Wanawake bikra ni heshima ya mwanamke na kuna raha yake unaptolewa bikra na mumeo. Na kuna raha yake unapoolewa na alokubikiri). Lkn ktk maisha ndo ivyo mambo yakitokea yametokea. Tumuombe Mungu azd kutusaidia wanadamu tuwe na mioyo ya kufikiri zaidi.
Kweli mkuu, ata km wote mkiwa bikra lkn km tabia hazina usawa, lazima mtaachana tu. Cha muhimu ni kumuomba Mungu akujaalie mwenza sahihi tu asiyemsumbufu na tabia muendane bs.Yani katika comments zote, yako pekee ndo nimeweza kusoma mpaka mwisho.
[emoji122][emoji122][emoji122] umeongea vyema.
1. Heshima ya bikra ipo pale pale.
2. Kuna viendesha ndoa/ mahusiano vingine zaidi ambavyo kihalisia ndivyo vinavunja ndoa/ mahusiano.
(Kama tabia zenu hazi match, hamuwezifika mbali hata kama nyote wawili ni mabikra)
Kweli..wengi wanajihami kwa kutetea bikra kwa sababu wanaogopa kusalitiwa.Bikra ina thamani yake, na hakuna mwanaume asiyependa kuoa bikra, wala mwanamke asiyependa kuolewa bikra. Bikra ni kiashiria cha ujitunzaji wa mwanamke na kuuthamini mwili wake. Kwa kweli ni heshima sana iki kitu. Sema ndo ivyo kila mtu ameitoa kwa mazingra yake.
Lakini kwa upande mwngine, swala la kusema kuwa nikioa bikra ndiyo Nitafurahia ndoa na ndiyo nitammiliki peke yangu huyo mwanamke, si kweli kabisa. Ndoa ni kitu kigumu sn na inahtj hekima ili kuweza kukabili changamoto za ndoa. Unaweza ukambikir kwnye ndoa na bd akapata tamaa nje na akagegedwa nje vzr tu. Ww km hutomridhisha vzr , siku akipt wa kumridhisha nakwambia hutaamini km ndo yule uliyemtoa bikra mwnyw. Kwa hili muombe Mungu sn awajaalie hekima na busara kulitambua.
Na vile vile, hao mnaowasema kuwa mmetolewa na watu na mkatupwa tu bila kuolewa, kwani si ni nyie nyie ambao mnawabikiri? Na kuwaacha?. Km mnaijua thamani yake kwanini mnawabikiri alafu mnawaacha?, unapombikiri mtt wa watu may be upo chuo kwnn kesho yake usitangaze ndoa na ukaoa hiyo bikra?. Lkn mnashindwa kujiamini na ni waoga mnawaacha wadada wa watu. Wanawake ambao hawana bikra nao Wanathamani kubwa sana, tena wengine hata hawana vibakuli km mnavyosema kulingana na huo utafiti wenu. Mwanamke tabia, heshima, nidhamu, kujitambua nafasi yake ndiyo sifa ya mwanamke. Bikra pia ni kiongezeo cha kujitunza mwanamke, na si kwamba ukioa bikra ndy atakuwa na hizo tabia.
Nilichoona apa ni kuwa wanaume mnaogopa kusalitiwa, na si kwamba mnaiyona thamani ya mwanamke kuwa bikra na mnatakiwa kuiheshimu bikra. Lkn nyie ni waoga wa kusalitiwa, kuibiwa. Tambua kuwa ukishamfungua hiyo njia, umewafungulia na wengine, km huyo mwanamke bikra asipojiheshimu na kujitambua thamani yake yeye km mwanamke. Acheni uoga wanaume, sawa tafuta bikra mana ndiyo heshima ya mwanamke lkn angalia tabia ya huyo mwanamke. Na si kwamba wanaume wote wamewaoa waliowatoa bikra, au wanaume wote wamepata nafasi ya kutoa bikra, hapana.
Wapo waliooa wasio bikra na ndoa zimedumu vzr tu. La msingi omba tu Mungu akujaalie mke mwema bs. ( Wanawake bikra ni heshima ya mwanamke na kuna raha yake unaptolewa bikra na mumeo. Na kuna raha yake unapoolewa na alokubikiri). Lkn ktk maisha ndo ivyo mambo yakitokea yametokea. Tumuombe Mungu azd kutusaidia wanadamu tuwe na mioyo ya kufikiri zaidi.
Neno hili.watu wote bikra sema kila mtu kaitoa kwa matumizi yake anayoyajua mwenyewe iwe kwa kupenda au kubakwa
Mkitaka kuoa bikra muache na kurubuni na kuvibaka vitoto kabla ya umri mfano ilo bazazi la Kenya na ipo mingine humu humu inachangia mada kumbe mibakaji[emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
AhsanteeeBikra ina thamani yake, na hakuna mwanaume asiyependa kuoa bikra, wala mwanamke asiyependa kuolewa bikra. Bikra ni kiashiria cha ujitunzaji wa mwanamke na kuuthamini mwili wake. Kwa kweli ni heshima sana iki kitu. Sema ndo ivyo kila mtu ameitoa kwa mazingra yake.
Lakini kwa upande mwngine, swala la kusema kuwa nikioa bikra ndiyo Nitafurahia ndoa na ndiyo nitammiliki peke yangu huyo mwanamke, si kweli kabisa. Ndoa ni kitu kigumu sn na inahtj hekima ili kuweza kukabili changamoto za ndoa. Unaweza ukambikir kwnye ndoa na bd akapata tamaa nje na akagegedwa nje vzr tu. Ww km hutomridhisha vzr , siku akipt wa kumridhisha nakwambia hutaamini km ndo yule uliyemtoa bikra mwnyw. Kwa hili muombe Mungu sn awajaalie hekima na busara kulitambua.
Na vile vile, hao mnaowasema kuwa mmetolewa na watu na mkatupwa tu bila kuolewa, kwani si ni nyie nyie ambao mnawabikiri? Na kuwaacha?. Km mnaijua thamani yake kwanini mnawabikiri alafu mnawaacha?, unapombikiri mtt wa watu may be upo chuo kwnn kesho yake usitangaze ndoa na ukaoa hiyo bikra?. Lkn mnashindwa kujiamini na ni waoga mnawaacha wadada wa watu. Wanawake ambao hawana bikra nao Wanathamani kubwa sana, tena wengine hata hawana vibakuli km mnavyosema kulingana na huo utafiti wenu. Mwanamke tabia, heshima, nidhamu, kujitambua nafasi yake ndiyo sifa ya mwanamke. Bikra pia ni kiongezeo cha kujitunza mwanamke, na si kwamba ukioa bikra ndy atakuwa na hizo tabia.
Nilichoona apa ni kuwa wanaume mnaogopa kusalitiwa, na si kwamba mnaiyona thamani ya mwanamke kuwa bikra na mnatakiwa kuiheshimu bikra. Lkn nyie ni waoga wa kusalitiwa, kuibiwa. Tambua kuwa ukishamfungua hiyo njia, umewafungulia na wengine, km huyo mwanamke bikra asipojiheshimu na kujitambua thamani yake yeye km mwanamke. Acheni uoga wanaume, sawa tafuta bikra mana ndiyo heshima ya mwanamke lkn angalia tabia ya huyo mwanamke. Na si kwamba wanaume wote wamewaoa waliowatoa bikra, au wanaume wote wamepata nafasi ya kutoa bikra, hapana.
Wapo waliooa wasio bikra na ndoa zimedumu vzr tu. La msingi omba tu Mungu akujaalie mke mwema bs. ( Wanawake bikra ni heshima ya mwanamke na kuna raha yake unaptolewa bikra na mumeo. Na kuna raha yake unapoolewa na alokubikiri). Lkn ktk maisha ndo ivyo mambo yakitokea yametokea. Tumuombe Mungu azd kutusaidia wanadamu tuwe na mioyo ya kufikiri zaidi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli..wengi wanajihami kwa kutetea bikra kwa sababu wanaogopa kuaalitiwa.
Ni waoga
Sent using Jamii Forums mobile app