Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,726
- 18,241
Kweli..wengi wanajihami kwa kutetea bikra kwa sababu wanaogopa kusalitiwa.
Ni waoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado thamani ya bikira IPO palepale
Kweli..wengi wanajihami kwa kutetea bikra kwa sababu wanaogopa kusalitiwa.
Ni waoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu ana-generalize kuwa wanaotaka kuoa mabinti bikra wana;
✓Vibamia
✓Wanaogopa kugongewa
✓Wana umri kati ya 23-28
Huu ni ujinga..Bikra iheshimewe japo kuwa sio guarantee ya mke kutulia au kutokuchapwa nje endapo utamuoa akiwa nayo
Nitamheshimu sana binti niliyemkuta bikra mfano kwenye umri around 22-25 ambaye hana kasoro yoyote physically and physiologically..
Huna Bikra unatulia na kuacha kupotosha kuhusu thamani na Bikra ya msichana
Hapana babeHivi kweli na Mimi Nina kibamia [emoji849][emoji849][emoji31][emoji31][emoji19]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mahali nilipoenda op niliyemquote mwanzo alisema kuwa mwanamke bikra anakuwa hana historia ya kuumizwa kimapenzi na mimi nikasema unaweza kuwa bikra na ukawa umeshawahi kuumizwa.msichana, kubali umemwaga pumba mwelevu huwa anakubali kukoselewa 🙂 🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bado thamani ya bikira IPO palepale
Ni tofauti na nilivyodhani mwanzoNdio Mkuu..kuna nn???
Suala sio Bikra, watu wote walitakiwa wasijihusishe kabisa na mapenzi hadi wanapoingia kwenye ndoa na baada ya ndoa wabaki kuwa waaminifu.
Sisemi matatizo ya ndoa yangeisha lakini yangepungua kwa kiasi kikubwa sana.
Sio sawa kudai bikra kwa binti wakati mwanaume umeshachafia file.
Mwisho bikra haitoi uhakika wa mahusiano bora.
Huo mfano hai naujua huna haja ya kusema[emoji16][emoji16]Ni tofauti na nilivyodhani mwanzo
BTW kuumizwa kupo pale pale haijalishi binti ana bikra au Hana
Kuwa na bikra hakumzuii binti kupenda Sana..hata bikra wanaumizwa vizuri tu Sana na mahusiano.
Mfano hai upo Kama unautaka nikupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani wanaume wote wangesoma hii comment.Suala sio Bikra, watu wote walitakiwa wasijihusishe kabisa na mapenzi hadi wanapoingia kwenye ndoa na baada ya ndoa wabaki kuwa waaminifu.
Sisemi matatizo ya ndoa yangeisha lakini yangepungua kwa kiasi kikubwa sana.
Sio sawa kudai bikra kwa binti wakati mwanaume umeshachafua file.
Mwisho bikra haitoi uhakika wa mahusiano bora.
Naona hawakuelewi.Hakuna mahali nilipoenda op niliyemquote mwanzo alisema kuwa mwanamke bikra anakuwa hana historia ya kuumizwa kimapenzi na mimi nikasema unaweza kuwa bikra na ukawa umeshawahi kuumizwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] anabaki kujiuliza hivi huyu mtu hajawahi kuona hata chupi yangu naumia hivi vipi ingekuwa vinginevyo si ningekufwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani pengine bikra wanaunizwa zaidi kuliko hata hao wengine.
Hii point yake kwamba bikra hawaumizwi SI kweli kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aahh sawa mkuuNi tofauti na nilivyodhani mwanzo
BTW kuumizwa kupo pale pale haijalishi binti ana bikra au Hana
Kuwa na bikra hakumzuii binti kupenda Sana..hata bikra wanaumizwa vizuri tu Sana na mahusiano.
Mfano hai upo Kama unautaka nikupe.
Sent using Jamii Forums mobile app