Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Status
Not open for further replies.
Narudia kusema, Hapo ulipo unataman sana alokutoa bikra ndo angekua Mumeo, Sanaaaa labda kama ulitolewa na Muhuni haeleweki nakm ulitolewa ukiwa na mdogo kiumri .
Sikia, Mimi Sijaoa, Ila nipo tayari kumtolea Mahari Mara tatu zaidi mwanamke bikra !!

Ikiwa Kuzaliwa kwa Yesu alitafutwa mwanamke Bikra, Je Mimi ninani????

Hehehehehehe !!Semea Kwamba Upendo na mazingira unatalizimu kukubaliana .

Lkn Usikae kushusha ukuu wa Bikra kwa mwanamke.

Mwanaume alowatoa bikra wanawake saba si wote watakuwa wanatamani awe wao wa milele ? Jitu kama hilo si linawadhulumu ninyi mnaozipenda ? Alafu kuna mabikra wa kutengenezwa sikuiz...Hatari sana....

Bikra mimi hainisaidi chochote, nikikukuta na bikra sikugusi, atleast me nakuwa considerate kidogo, nishapiga chin bikra kama 3 nawaachia ninyi ndugu zangu ila sasa wanaenda kukutana na mabaharia wengine uko..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sikulaumu kwasababu siwezi kukujudge na sijajua umepitia makuzi gani.

Ila kwa pumba umetumwagia hapa inaashiria wazi tu kuwa wewe haukupitia vema malezi ya kiimani na haujashika vema mafunzo ya kiimani regardless of which imani unatokea maana kote teachings ni the same kukataza uzinzi kabla ya ndoa.

Ila kaa ukijua kuwa hizo mbwembwe kitandani ni just human mbwembwe but it has got nothing to do with nature ya kufanya mapenzi.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Dalili ya kwanza ya mtu mwenye upeo mzuri wa kufikiri ni kuwa hataingiza imani na dini kwenye mazungumzo ambayo hakuna aliyetamka dini wala imani.

Ukiisha kufanya hivyo, umefika mwisho wa uwezo wako wa kufikiri na huna substantiated arguments to your opinion.

Is that the case with you?
 
Leo nimejiskia kufanya fujo humu.

I predict mnaoandika mada zisizoisha za bikira, mko inexperienced ikija kwenye mapenzi yaani ni watu reserved mnaogopa ku explore.

Some of this group mmelelewa kwenye strict rules. Upringing yenu inafuata rules A, B, C hakuna kuchanganya rules na lazima zifuatwe accordingly.

Mko age tofauti mnaoimba humu kuhusu bikira lakini wengi wenu age yenu ni 23-28 pia mna vibamia nyieeeeeeeeeeeeeeeeeeee 🤣🤣🤣🤣. Lack of confidence na maumbo yenu ndio drive kubwa ya kutafuta mabikira.

Mtu ambae amesex na mtu/watu na ame 'experiment' vizuri hizi habari za bikira hazivalii njuga!

Pole kwa kupoteza bikra tuachie sisi tuondelee kuzitafuta, kuna tofauti kubwa sana ya brand new na used


Sent using IPhone X
 
Bikra ni kiashiria cha ujitunzaji wa mwanamke na kuuthamini mwili wake. Kwa kweli ni heshima sana iki kitu.
Bikra kwa mtu mzima ni kiashiria cha

1. Repulsive ideas about sex. Mtu huyu anaichukulia sex negatively
2. Non curious & explorative mind. Mtu huyu hana nature ya kutamani kujua na kujaribu vitu to a reasonable extent
3. Too religious. Mambo ya kiimani yametawala kichwa chake kuliko mambo ya kidunia.
4. Social issues? Reject? Ila hii ni just a few rare cases
5. Non exposure? Wengine wana bikra kwa bahati mbaya. Wamefungiwa maisha yao yote. Rare.

Hizo zote ni qualities ambazo hazifai kwa mwanamke wa ndoa, kwa mwanaume mwenye akili.
 
Mnamshambulia mleta mada bure, inawezekana ni kweli hana bikra ila bikra hutolewa na wanaume, na bikra si muarubaini wa kugongewa mke, ukitoa mwanamke bikra haimaanishi kwamba umeweka kufuli hatogongwa na mwanaume mwingine. Hata akiwa mkeo anaweza akagongwa tu au ukakuacha akafall kwa mtu mwingine. Dada kasema, mtu yoyote anayeshadadia bikra ni mwoga na akataja na umri, na ukweli ni kwamba kuna uwezekano mkubwa yupo sahihi.

We kama upo kwe ndoa waambie watoto ukweli kuwa bikra si kufuli la kutokugongewa na waache woga. Sijamtisha mtu, nimesapoti point ya mleta mada juu ya woga.

Wengi mnaonganisha bikra na kugongewa na aliyemtoa bikra, ni kweli matukio hayo yapo ila pia ukimtoa mwanamke bikra hujaweka kufuli kuwa hatogongwa.

Ni sawa na kusema bia ni chanzo cha umaskini wakati wapo maskini wengi sana wanaokunywa maziwa tu.

Malezi mazuri na hofu ya MUNGU ndiyo suluhisho na si bikra maana mwanamke anapitia mengi mpaka kua mtu mzima, Kuishi kwingi kuona mengi. Watu wameingia vijijini kutafuta heshima na bikra na leo wanajuta.
Safi sana Mzeebaba na uhakika wanakuelewa vizuri👊. Ukisoma comments za wachangiaji unagundua waoga wamepanic
 
Bikra kwa mtu mzima ni kiashiria cha
1. Repulsive ideas about sex. Mtu huyu anaichukulia sex negatively
2. Non curious & explorative mind. Mtu huyu hana nature ya kutamani kujua na kujaribu vitu to a reasonable extent
3. Too religious. Mambo ya kiimani yametawala kichwa chake kuliko mambo ya kidunia.
4. Social issues??? Reject??? Ila hii ni just a few rare cases
5. Non exposure? Wengine wana bikra kwa bahati mbaya. Wamefungiwa maisha yao yote. Rare.

Hizo zote ni qualities ambazo hazifai kwa mwanamke wa ndoa, kwa mwanaume mwenye akili.
bikra ina thaminiwa mkuu kulingana na jamii yetu. ila ile imani ya wanaume kuwa ukioa bikra ndy hautasalitiwa ndiyo huwa wrong. tatizo halipo kwa wenye bikra, tatizo lipo kwenu nyinyi wanaume waoga.
 
Hakuna kitu kigumu kama kubishana na ukweli na ukweli ni kwamba bikra ina thamani yake bwana na hakuna mwanaume yeyote duniani angependa kuoa mwanamke used aliepitia migegedo mingi na hakuna mwanamke yeyote anaependa bikra yake itolewe na mwanaume ambae hatamuoa mengine yote mnafarijiana tu ila ukweli utabaki kuwa huo.
 
Kweli..wengi wanajihami kwa kutetea bikra kwa sababu wanaogopa kusalitiwa.
Ni waoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ivyo mkuu, tatizo lipo kwa wanaume, hawajiamini, wanaogopa kusalitiwa. eti nikimuanza mimi ndiyo atakuwa wangu tu, amekwambia nani hiyo Sera? ww omba tu upate mtu anayejitambua bs ata km akiwa ni bikra. tena ni bora ukampt Yule ambaye ameshazijua starehe ivyo atatulia kwenye ndoa kuliko huyo bikra anayeanza kujua mapenz kwnye ndoa, kesho na kesho kutwa kampt derevs boda nida anamfikisha kunako, na ww unamparaza paraza tu, haki ya nani, utaomba dunia isimame ushuke kwa jins utakavyodharauliwa. Hawa wanaume hawa hawaelewi.
 
Hakuna kitu kigumu kama kubishana na ukweli na ukweli ni kwamba bikra ina thamani yake bwana na hakuna mwanaume yeyote duniani angependa kuoa mwanamke used aliepitia migegedo mingi na hakuna mwanamke yeyote anaependa bikra yake itolewe na mwanaume ambae hatamuoa mengine yote mnafarijiana tu ila ukweli utabaki kuwa huo.....
Bikra ingethaminiwa usingezaliwa wewe.

Mama yako angeitunza bikra yake mpaka kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kigumu kama kubishana na ukweli na ukweli ni kwamba bikra ina thamani yake bwana na hakuna mwanaume yeyote duniani angependa kuoa mwanamke used aliepitia migegedo mingi na hakuna mwanamke yeyote anaependa bikra yake itolewe na mwanaume ambae hatamuoa mengine yote mnafarijiana tu ila ukweli utabaki kuwa huo.....
Huu ndio ukweli mkuu
 
Sidhani kama umeielewa point yangu maana naona umetoka kabisa nje ya mada embu jaribu kusoma tena kwa umakini ndio ujibu
Naelewa umeongea katika muktadha wa bikra kabla ya ndoa.

Na mimi nakueleza, kama bikra ingekuwa na thamani hivyo, isingevunjwa hata kwa ndoa.

Watu wangeitunza maisha yote mpaka wanakufa.

Kizazi chote kingetoweka.

Kwa kuipa thamani bikra.

Ukishakubali bikra itolewe baada ya ndoa, umeishaishusha thamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom