Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Status
Not open for further replies.
niko humu tangia 2008 usidhanie siijui JF,kisha mimi na wewe nawaachia wanajamii nani mwenye hoja za kiduwanzi,now Ciao...
Kwani kua humu toka 2008 ndio sababu.. Kwamba kila utakachokiandika ni sahihi au watu wote lazima wakikubali.. Come on.. Ingekua hivyo leo wasanii wote wa 2009 na below before Diamond wangekua matajiri au mbali kuliko Diamond.. Kwa hiyo hicho sio kigezo mkuu

Na bahati mbaya si mimi tu, ingekua kwangu peke yangu ningeonekana labda mimi ndio nina tatizo lakini nimefuatulia toka huko juu kila mtu atakayepingana mawazo yako kwa hoja unakimbilia kusema don't waste my time ([emoji23][emoji23][emoji23]) mara nakuweka kwenye ignore list.. Me nilidhani mheshimiwa peke yake ndio hataki kukosolewa kwa maana ya (ku challenge wa) kumbe mpo wengi..

Age is just a number tu, sio kisa upo humu toka 2008 basi utakua right kwa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika watu wenye busara wewe dada namba moja, sio kwenye uzi huu tu bali kila sehemu nikikutana na mchango wako lazima uandike point.. Sema huyu mwingine ni mwepesi sana wa kupanic.. Tena hiki ulichokiandika hapa ndio sawa na kile kile nilichoeleza hapo juu kidogo

Kua kuoa bikra au used ni uchaguzi wa mtu mwenyewe kutokana na interest zake ila tukiongelea bikra kama bikra yenyewe (bila kujali habari za kuoa au vipi) ina thamani kubwa sana.. Tofauti na wepesi wake ulivyochukuliwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nilikwambia niko humu tangu 2008 kukuonyesha kitu cha kuwa challenged sio kigeni kwangu, naona umelibebea mbeleko...hahaaaaaaaaaaaaaaaa its because you have nothing to talk about!, time waster, nimewaambia watu wawili nadhani na wewe ni wa tatu...yes hivi hamjioni??lol...
 
Mwanaume anatafuta hela na sio bikira, maana kuoa bikira hakumzuii mwanamke wako kuchepuka ila ukiwa na hela angalau unakuwa na full maamuzi japo atachepuka lakini ukiamua kufukuza unapata mwingine kirahisi, lakini kama huna hela akikusaliti unaomba msamaha ww halafu confidence hauna.

Note: Ninaposema hela simaanishi uwe kama Bilgate hapana bali hela tu yakukidhi mahitaji yake na angalau apendeze kwa hela zako hata kama ana zake.

Wakuliwa ataliwa tu, hata malaya alikuwa bikira

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Perfect! Asante...
 
Watu wote bikra sema kila mtu kaitoa kwa matumizi yake anayoyajua mwenyewe iwe kwa kupenda au kubakwa.

Mkitaka kuoa bikra muache na kurubuni na kuvibaka vitoto kabla ya umri mfano ilo bazazi la Kenya na ipo mingine humu humu inachangia mada kumbe mibakaji[emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wanasema wakati unatafuta ela basi usisahau kuishi.. (Huko kwenye kutokusahau kuishi ndio wengine wanatumia ku pursue hao ma bikra)

Kuna jamaa huko juu kauliza hivi

Mbona watu hawaendi kuoa malaya (nadhani alimaanisha wanaojiuza kwa lugha nyingine machangudoa) ili swali lilete maana zaidi au lieleweke kama mwanamke yoyote ni sawa tu mbona wanaume hatuendi kuoa malaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bikra ina thamani yake, na hakuna mwanaume asiyependa kuoa bikra, wala mwanamke asiyependa kuolewa bikra. Bikra ni kiashiria cha ujitunzaji wa mwanamke na kuuthamini mwili wake. Kwa kweli ni heshima sana iki kitu. Sema ndo ivyo kila mtu ameitoa kwa mazingra yake.

Lakini kwa upande mwngine, swala la kusema kuwa nikioa bikra ndiyo Nitafurahia ndoa na ndiyo nitammiliki peke yangu huyo mwanamke, si kweli kabisa. Ndoa ni kitu kigumu sn na inahtj hekima ili kuweza kukabili changamoto za ndoa. Unaweza ukambikir kwnye ndoa na bd akapata tamaa nje na akagegedwa nje vzr tu. Ww km hutomridhisha vzr , siku akipt wa kumridhisha nakwambia hutaamini km ndo yule uliyemtoa bikra mwnyw. Kwa hili muombe Mungu sn awajaalie hekima na busara kulitambua.

Na vile vile, hao mnaowasema kuwa mmetolewa na watu na mkatupwa tu bila kuolewa, kwani si ni nyie nyie ambao mnawabikiri? Na kuwaacha?. Km mnaijua thamani yake kwanini mnawabikiri alafu mnawaacha?, unapombikiri mtt wa watu may be upo chuo kwnn kesho yake usitangaze ndoa na ukaoa hiyo bikra?. Lkn mnashindwa kujiamini na ni waoga mnawaacha wadada wa watu. Wanawake ambao hawana bikra nao Wanathamani kubwa sana, tena wengine hata hawana vibakuli km mnavyosema kulingana na huo utafiti wenu. Mwanamke tabia, heshima, nidhamu, kujitambua nafasi yake ndiyo sifa ya mwanamke. Bikra pia ni kiongezeo cha kujitunza mwanamke, na si kwamba ukioa bikra ndy atakuwa na hizo tabia.

Nilichoona apa ni kuwa wanaume mnaogopa kusalitiwa, na si kwamba mnaiyona thamani ya mwanamke kuwa bikra na mnatakiwa kuiheshimu bikra. Lkn nyie ni waoga wa kusalitiwa, kuibiwa. Tambua kuwa ukishamfungua hiyo njia, umewafungulia na wengine, km huyo mwanamke bikra asipojiheshimu na kujitambua thamani yake yeye km mwanamke. Acheni uoga wanaume, sawa tafuta bikra mana ndiyo heshima ya mwanamke lkn angalia tabia ya huyo mwanamke. Na si kwamba wanaume wote wamewaoa waliowatoa bikra, au wanaume wote wamepata nafasi ya kutoa bikra, hapana.

Wapo waliooa wasio bikra na ndoa zimedumu vzr tu. La msingi omba tu Mungu akujaalie mke mwema bs. ( Wanawake bikra ni heshima ya mwanamke na kuna raha yake unaptolewa bikra na mumeo. Na kuna raha yake unapoolewa na alokubikiri). Lkn ktk maisha ndo ivyo mambo yakitokea yametokea. Tumuombe Mungu azd kutusaidia wanadamu tuwe na mioyo ya kufikiri zaidi.
 
Kutafta nikra ni sawa na kuajiri std 7 kwenye idara ya uhasibu.
Kazi itaifanya mwenyewe.
Ujiandae kwa vifinyo, mayowe nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bikra ina thamani yake, na hakuna mwanaume asiyependa kuoa bikra, wala mwanamke asiyependa kuolewa bikra. Bikra ni kiashiria cha ujitunzaji wa mwanamke na kuuthamini mwili wake. Kwa kweli ni heshima sana iki kitu. Sema ndo ivyo kila mtu ameitoa kwa mazingra yake.

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Well said mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo ukweli huo mkuu.
 
Yani katika comments zote, yako pekee ndo nimeweza kusoma mpaka mwisho.
👏👏👏 umeongea vyema.
1. Heshima ya bikra ipo pale pale.
2. Kuna viendesha ndoa/ mahusiano vingine zaidi ambavyo kihalisia ndivyo vinavunja ndoa/ mahusiano.
(Kama tabia zenu hazi match, hamuwezifika mbali hata kama nyote wawili ni mabikra)
 
Kweli mkuu, ata km wote mkiwa bikra lkn km tabia hazina usawa, lazima mtaachana tu. Cha muhimu ni kumuomba Mungu akujaalie mwenza sahihi tu asiyemsumbufu na tabia muendane bs.
 
Kweli..wengi wanajihami kwa kutetea bikra kwa sababu wanaogopa kusalitiwa.
Ni waoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsanteee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu na mtazamo wake. Mie sijaoa na nikiamua kuoa sitaki mwanamke bikra kabisaa. Bora upate mzoefu utayeona umemtosheleza zaidi ya waliompitia kuliko yule ambaye hajui kitu na mbele ya safari akatamani kutest vya nje, akionja aisee utafurahi na roho yako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…