Kibamia ukikiona tu hate kabla ya kuingia kwenye chungu unajua tu kua no kibamiaUlijuaje kua wana Vibamia?
Utamuona mwanaume ni kibamia kutokana na umbo la chungu chako..
Kama Mileage imeenda sana hata ukiwekewa mwichi bado utaona kibamia
Kama ww ni bikira sawa maana yakikukuta utalia na Mungu wako, ila kama siyo jiandae kwa lolote maana dunia ni mzunguko. Hapa Tanzania hatuna chombo kinachounda umoja wa wenye bikira kwamba utaenda kushtaki ukija gundua uliingizwa mjini.Tatizo nawe ni miongoni mwa waliopoteza bikira zao mapema.. Tena naamini umechovywa na mashine zaidi ya kumi tofauti ndo ukabahatika kuingia kwenye ndoa(tena kama ndoa yenyewe unayo) Hv mwanamke wa dizain hyo unadhan ni wakuwa wife materials..,? otherwise in kujitafutia presha za maisha tu.
Never siji kuoa mwanamke aliyetolewa bikira na mtu mwanamume, daima atakuwa ni wakutumiwa miaka nenda rudi kama sibkutupwa mazima
Nilisema hilo wapi? Weka link hapa tujue nilisema kweli na hujatunga maneno ysko na kunisingizia nimesemaKwan si ndio ww ulishasemaga kuwa bikra ni kapu la ndoa.Au unameza maneno yakobleo mbele ya mwanamama huyu.
Aahhh Mkuu wangu, Kila Mwanadamu anastahili nafasi ya Pili....niivo mwanamke asokua Bikra aliwahi kua Bikra, wengine walitolewa kwa kubakwa, wengine kwa sababu ambazo mpaka wao hawaelewi, SASA HIYO HAIFANYI UHUKUMU TENA NAWEWE NIMTU WA WANAWAKE..
Ndio maana kila MTU huitaji nafasi ya Pili.... Mwanamke anaweza asiwe Bikra lkn AKAWA MZURI KTK NYANJA ZOTE kiasi kwamba ukawa MTU wa mafanikio sababu yake.Lkn hilo Haliji, nahalitakaa kuja, ikiwa tu huyo mwanamke sio Mcha Mungu.
Aya yule mwanamke alikua sio bikra, Lakini tazama, Huenda alikua na mteja ,huenda alikua hana pesa ,huenda alikua mbali sana... Lkn aliposikia habari za Yesu mkombozi, Aliacha kila anachofanya ,hakujali hana hela, hakujali watu watamuonaje, naye AKAAMUA KUPIGA HATUA KUMFATA YESU.
Kumbe Niktk Yesu pekee tabia zetu Hubadilishwa na kutifanya tuwe wapya kimwili nakiroho.
Ivo basi Fanya yooooote, Ukutane na bikra au lah , ILA HAKIKISHA HUYO MKEO NI MCHAJI MUNGU.
Sababu umeshafeli lazima unisikie vibayaNikisikia mtu bikra namuonea huruma
Nakuunga mkono ndugu mchangiaji...... Huyu kafeli anatafuta namna ya kujitetea tu hapa ila anajua hana point ya maana ya kutetea pumba zake......Kusex na Wanawake lundo nayo ni Sifa?
Ukweli ni kwamba, Wewe kama sio Bikra basi tambua kwamba ukija olewa, umeolewa na Mwanaume ambaye hakua wako, na kwa maana nyingine, utampatia kazi huyo mwanaume yakujitahidi kukuridhisha WEWE . nahuo ndo mwanzo wa Kuanza kumlinganisha linganisha na Mbooo ulizokutana nazo wewe.....
Kuna mmoja alitoa Uzi analaumu wanaume wa kilokole ,et Mumewe mlokole yuko zero kimahaba.
Lkn alisahau yakua,, kuruka ruka na wanaume ovyo, kumempa Roho na uzoefu ambao huyo Mlokole alokulia ktk maisha yake ya kilokole imempa ugumu..
Sasa kosa La nani? Wewe binti ulianza ngono namiaka 15 au mlokole aloamua kujitunza mpaka Ndoa?
Alafu , Mwanamke Bikra hana uzoefu wowote linapokuja suala LA kutendwa na kuumizwa ,, nahii inamchango mkubwa sana ktk maisha yake ya kimahusiano.
Kajiepusha na PID, magonjwa ya zinaa, n.k ...
Hajawahi Toa mimba.
WEWE MWENYEWE UNATAMAN YULE MWANAUME WAKO WAKWANZA , NDIO UNGEKUA NAYE MPAKA SASA !!!
Wewe Utasema yoteee, UKWELI NIKWAMBA BIKRA ATABAKI KUA BIKRA....semea tatizo liko kwetu sisi wanaume kushindwa kuthamin hiyo kitu...
Umri wangu...27--30..Sijaoa, Msukuma ,mashine ipo , Nmeajiriwa,Nina maisha yangu binafsi, mjasiriamali, mkulima, mweusii, Mwonekano wa Kiume...PAMOJA NAHAYA YOTE, SITOKAAA NA NITAKUA MWANAUME WA MWISHO KUKUBALIANA NA UPUUZI ULOANDIKA.
Hiyo ni nyongeza....Heshima ya mwanamke ni kumtunza mume wake vizuri.
Sikulaumu kwasababu siwezi kukujudge na sijajua umepitia makuzi gani.Binafsi sitamani hata kuisikia bikira.
The more experienced the better.
Achana na mwanamke anayejua nini anafanya kitandani, ni mtamu kuliko kawaida.
Bikra is useless in my opinion. Imekaa kiukandamizaji na objectification ya mwanamke kuwa thamani yake inapungua kila anaposhiriki tendo.
Also, size ya uke haiwi influenced na frequency ya mwanamke kushiriki tendo.
umeongea nini mkuu… unajua maana ya "bikra"?Mwanamke kuwa bikra haina maana hajadate mtu mwingine zaidi ya mumewe, anaweza kuwa nae na wanaume wengine ila mahusiano yao hayakuhusisha ngono, kwa hiyo kama ni kuumizwa wao pia wanaumizwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kusema bikra ni mwanamke ambae hajawahi kuwa na mahusiano? Mimi najua ni mwanamke ambae hajawahi kufanya mapenzi. Point yako ni nini?umeongea nini mkuu… unajua maana ya "bikra"?
Ulijuaje kua wana Vibamia?
Utamuona mwanaume ni kibamia kutokana na umbo la chungu chako..
Kama Mileage imeenda sana hata ukiwekewa mwichi bado utaona kibamia