Wanaume wanaotelekeza watoto ni janga kubwa nchini kwa sasa

Fullfill your responsibility

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
What responsibility, unaposema responsibility lazima uwe wazi. Anamhudumia nani, mke, hawara nani?

Kwann unajijengea mfumo wa maisha nje ya ule ambao jamii imeshaujenga then unataka upate benifits sawa na za wale wanaoishi ndani ya mfumo rasmi?

Ulishaambia mtoto wa kike hatakiwi kutolewa bikra na mwanaume ambaye hatakuja kumuoa, ukakaidi.

Ukaambiwa usiwe na mahusiano nje ya ndoa, ukakaidi.

Ukaambiwa usijezaa nje ya ndoa, ukakaidi.

Sasa umeshaza na umeshavunja miiko yote hiii inatujia hapa na Nyoko nyoko nyoko nyoko nyoko nyoko nyoko responsibility nyoko nyoko nyoko fulfill responsibility.

Ungeyataka haya ya kufulfil responsibility ungeheshimu masharti ya jamii yaliyokutaka ujiheshimishe na kuwa ndani ya ndoa kama wenzako.

Wenzako wameolewa na wakitaka matunzo wanapata vizuri tu na hawapati shida za kulalamika utadhani wendawazimu. Beba msalaba wako kwa kutokuwa serious na Maisha yako tokea ukiwa binti mbichi.

Mtajifunza , kizazi hiki cha wanaume wa sasa hawana muda wa kutetea upumbavu kila mtu abebe mizigo yake kulingana na ujinga ujinga wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mbona mnautani na bibi maushungi. FaizaFoxy njoo uone unavyochafuliwa na hawa waja.
 
Kama mlianza na mahusiano Mwitu mnaanzaje kuwa na malezi bora kwa mtoto, unajua wewe acha vichekezo hivi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mbona mnautani na bibi maushungi. FaizaFoxy njoo uone unavyochafuliwa na hawa waja.
Napenda akili zake zilivyo aseee πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mabinti wa Zanzibar wapo tofauti atamuacha sharobaro ambaye haeleweki na kwenda kuolewa mke wa tatu kwa mbaba na anatulia tuli kwenye ndoa ila bongo ni kinyume chake. Hovyo kabisa mabinti wa kibongo
Ni swala la kukosa maadili tu. Wakikaa na mama zao huko vyumbani kazi kupeana kanuni za kudangia wanaume, yakiwakuta wanaanza piga makelele kuwa jamii imewatenda.
 
Hayo mateso wengine ni ya kujitakia!!

Unakuta Binti anachanganya wanaume watatu hadi mmoja anaamua kuwaachia wengine!!

Mimba ikiingia anasema ya FULANI Kati ya watatu!!

SASA jamaa anakua mzito kukubali ujauzito coz ni ngumu kupona mimba ni ya nani!!

Jamaa akigoma na mtoto hatolea kabisa!!
 
Unalinganisha nchi za Ulaya na nchi za Afrika kweli?! huku kwenye wanawake wababaishaji wenye wababa zaidi ya mmoja kwenye mimba moja na wote wanahudumia bila wao kujuana , wenzetu wa Ulaya wametuzidi kwenye majibu ya vipimo vya DNA huku kwetu hawachelewi kupika matokeo ukalea mtoto siyo damu yako na hiyo yote inatokana na wanawake wadangaji wasiyo waaminifu ndiyo maana huku Afrika single mama ni wengi .
 
Hah
Hawa ni kuwala na kudump tu mpaka wawe mabibi
Ahahaha we jamaa Kuna nyuma nyuma ya pazia si bure,naheal maumivu kidg so muda ntakua monster hahahah...nmekubali yaishe na mtoto nmemwachia wanawake muda mwingine Ni wapuuzi balaa Kama hujakutana nao kweny bilinge lazma utawatetea but Mimi hapana...kabla nliamini hutakiwi kumpiga mwanamke Ila Kuna wanawake wanakasheshe so kitoto.
Ntaoa Ila itanichukua muda mrefu Sana maanina
 
Great
 
Tukisema hapa watu mnasema tumekulia kwenye single mother ila ukweli ni kwamba si busara kumzalisha mtu kisha ukasepa kisingizio ujajipanga mbona ulijipanga kumwagia ndani?
 
Una uhakika kwamba single mothers wote waliotelekezwa na watoto ni waovu ?
Hivi unajua kua kuna wanawake wanaishi kwenye ndoa lakini ni single mothers by needs
 
Mwanaume hadi anafikia hatua ya kutelekeza watoto ujue ipo sababu, tunapenda sana kuishi na watoto zetu ila mama zao ndio sababu
 
Kulea mtoto au watoto peke yako ni kazi sana ndugu zangu ,hasa kwa wanawake wanaoishi dar es salaam ,Maisha ni magumu Sana mfano hawa wamama ambao wanafanya biashara ndogo ndogo tena kwa kukimbizwa mijini ,Then imagine per day mtoto wa shule anatakiwa apewe hata 1000 anao watoto wawili na anawalea peke yake ,Kodi ,wale na wavae,na ahudumie matumizi yote ya shule na asiwe na mabwana kweli ? Vaa hivyo viatu.
 
Wewe utakuwa ni single mother.pole,pambana
 
Hii ndio mimi niliifanya kwa watoto wangu wote 5 wa mama tofauti. Niligoma kutoa matumizi, lakini nilikubali kuwalea na mwisho wa siku wanangu wote 5 niliwachukua na kuwalea mwenyewe, kabla sijaoa na tukapata watoto wengine 3😊😊
Kaka kumbe umalaya umeanza kitamboπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Shida kubwa dada zetu mnajirahisisha sana sasa wewe mwanamke unabeba mimba ya mwanaume ambaye ata kwenu hajaja kujitambulisha hii inakaa vipi wengine mpo kimaslai zaidi hapa mjini unamkuta binti kazaa na mume wa mtu ili tu na yeye awepo kwenye mgawanyo wa mali ambazo hajui zilipatikana vipi
 
Kaka kumbe umalaya umeanza kitamboπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
Dada.....
Kwani malaya ni mtu wa aina gani....πŸ™„πŸ™„
Maana humu wapo watu wengi wanao zibadili kama nguo, na wanajua wana watoto lakini wamewatelekeza...😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…