Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?

Eti unakutana na mwanaume njian kavaa shanga kiunoni,naam naye anasema ni kwenda na wakati na /au yeye huko huru kuishi atakavyo!

Wewe shanga kwa mwanaume mwenzio umezionaje?! Kama sio m.f.i.ra.ji.!
 

Hawa watu wanashangaza sana mkuu!
 

Umeshasema job interview ambayo kwa mtazamo wa wengi wanapenda kuona mtu amekuja na suti mkuu! Kwani wewe huvai kaptura au fulana? Kwanini haifai kwenda na kaptura kwenye interview? Kwani Ina maanisha ukivaa katika mazingira tofauti ni makosa? Lakini kwangu Kama namfanyia interview mtu yoyote sitojali amevaa cheni! Kwani cheni ndio inafanya kazi? Nikikufanyia hata wewe interview pamoja na suti yako lakini Kama huna uwezo nitakutimua tu.
 
Kusoma na kuelimika wewe unachuliaje..sina mameno mengi sana maana wabongo tukishidwa hoja tunakimbilia kuattack personality ..kama kusoma na kuelemika ni kukubali mwanaume kuvaa mapambo ya kike...kwenye jamii yetu tunayoishi kila siku...basi sijaelimika kabisa..nlipoteza ada tu
 
Unaongea mambo ya kufikirika..ongea maisha halisi.. Kwenye jamii yetu..nenda zoom kaangalie how to prepare for interview ..!!
 
Unaongea mambo ya kufikirika..ongea maisha halisi.. Kwenye jamii yetu

Kiwango chako cha uelewa ni kidogo mno! Unaposema mambo ya kufikirika una maanisha kitu gani? Kama unaona tabu mtu kuvaa cheni kwenye interview Kwanini usiruhusu watu kuja na kaptura? Kwanini ni sawa kuvaa kaptura sehemu tofauti na kwenye interview sio tatizo? Lakini ni dhambi kuvaa cheni kwenye mazingira hayo hayo?!
 
wewe unazo hereni za kiume? je, sketi na gauni za kiume unazo pia?

zipoo kamuulize diamond akuonyeshee! freedom of choice hata kama avae hereni masikio yote mawili kama mwanaume ataendelea kuwa mwanaume!!weye kama inakukera waache wafanye hayo..punguza ulalamishi dume ziima! ni ulimbukeni kama hata saa huvai kisa waofia kuhisi umevaa bangili..!
 
Upo lkn haukubaliki kwenye jamii kwa ujumla hata kisiasa mimi na wewe tunajua haukubaliki...na hao wengine si wavae hereni..lalkini mm na ww tunajua ukhalalisha wanaume kuvaa mapambo ya wanawake eti kisa tu jamii inabadilika ni rahisi kuhalalisha vitendo vingine hivyo kwa base hiyo hiyo..na mimi sioni kama ni uongo mm nlishafika hukumu kwamba haitakiwi mwanaume kuvaa mapambo ya kike
 
Mbona umenarrow uzi kwenye chain/mkufu..?!
 
Ni freedom of choice mwanaume kuvaa hereni..!? Unajua haya mengine ni ushamba wa sisi watanzania...watu wanaona wale wanaovaa hayo mahereni ni wajanja kumbe ni ushamba na kukosa exposure wakati mwingine..?
 

Asikusumbue huyo mkuu! Hana hela ya kununua ndio maana wivu umemjaa! Mwenzako anapiga hela ndefu wewe umekaa kumzunguzia tu, unajaribu kumshusha diamond ili wewe uonekane ndio mwanaume wakati huna kitu!! Males shouldn't be jelous that's a female traits.
 
Mbona umenarrow uzi kwenye chain/mkufu..?!

Kwani cheni haipo kwenye vitu unavyopinga? Jibu hoja usilete maswali yasio na msingi, nilikwisha kuambia mwanzo anayetaka kuvaa hereni hata bangili ni uamuzi wake na wala haimfanyi kuwa irresponsible and it won't define his character kwa watu wengine isipokuwa kwa watu wenye inferior complex Kama wewe wenye kupenda kuhukumu kwa personality ya mtu. Don't judge a book by its cover.
 
Mke/ demu wako avae cheni, mwanao wa kike avae cheni, naww nawe uvae cheni?

Dooh. Sasa tofauti yako iko wapi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…