OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Hoja zako nimejibu tangu mwanzo na nimekupa areas of concentration ili uelewe zaid what else has remained untouched???!!!!Bado hujajibu hoja zangu....unatumia muda mwingi sana kuji-defend kuliko kujibu hoja straightforward. Kwanini unazunguka mbali hivyo wakati kuna shortcut?
Hakuna majibu ya straight forward unapolenga kupata meaning,experience, attitude,behaviour ambazo zote hizi ni results za culture ambayo ni dubwasha kubwa na lina tofauti kibao; ambazo wewe huzijui ila unataka wanaojua watoe majibu yatakayokuridhisha, how come! !!!!!!
At the same time you label all people who challenges you!!!!!! What a mistake, si umeona sasa walioanza kusema sababu kwa mfano wawe sexy, wengine walisema inaongeza mvuto wote umewafanya wa shun away halafu unataka majibu while you screwed the project at its embryonic stage!!!!!
M defending nothing of my interest except for knowledge sharing of which seems not to be your target!!!!!