Wanaume wanapenda kwa vipande sio kitu kizima

Wanaume wanapenda kwa vipande sio kitu kizima

Mama kajitahidi Sana kuelezea Ila kwa wanaume tuna haja ya kujitathmini Sana aisee.. umalaya sio poah!!
Kwa nini siyo poa?? Nature inawafavor,Mila na tamaduni zina wafavor, vitabu vya dini vinawafavor( agano la kale kwa biblia)... haya bado haitoshi mama kawaruhusu kwa vipande wakati yeye ni mwanamke?
 
Ndio maana umeyapenda maneno ya mama Mghwira [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila eti wanasemaga "utazunguuka mabucha yote nyama ni ile ile" sa sijui kweli au vip[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asije akakuongopea mtu
Utamu wa ke unatofautiana sanaaaa
 
Hata wanawake wanavipande vyao vingi tu,labda kama hujawasoma.
Lakini unatafuta hela au na wewe si msanii
 
Wanawake hawanaga mbwembwe wao vipande vyao huvipenda kimya kimya mme akirudi yeye ni pambio tu , vipande vipo hata kwa wanawake
 
Ndio maana umeyapenda maneno ya mama Mghwira 😂😂😂

Ila eti wanasemaga "utazunguuka mabucha yote nyama ni ile ile" sa sijui kweli au vip🤣🤣🤣
Hahahah chips ziko nyingi kinondoni ila kwa sele bonge ndo balaa, hujiulizi kwanini?
 
Back
Top Bottom