Jagarld
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 2,618
- 3,294
Hakika huyu mama ni Daktari,
Katika kikao cha mabaharia kitakachofanyika mwanzoni mwa mwezi June kwa ajili ya kuweka mikakati ya kupambana na corona pamoja na kupitia upya bei elekezi za kuhonga, napendekeza agenda ya kumpongeza iongezwe katika agenda za kikao.