LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Tulipoanza kupenda pochi na sio mtuMmeanza lini!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulipoanza kupenda pochi na sio mtuMmeanza lini!?
Vijana mnafurahishaAmeongea fact hadi nimefurahia, he looked on the matter positively! Culprit ni umalaya ila its because of nature. Mwanaume anavutiwa na vingi (sections/vipande) katika mwili wa mwanamke na hawezi penda entirely.
Binafsi napenda brains, sura nzuri, shape, romanticness & understandability! Inakuwa ngumu kupata package yote kwa mtu mmoja but mwanamke mwenye mawili miongoni mwa hayo hapo juu lazma nitapenda kuwa nae penzini.
.
😂😂😂Mimi kipande changu ni chura peke yake, sitaki kipande kingine!
Kwahio wanaume hamna wivu?.Yani ni kwamba mwanamke anampenda mwanaume full ndio maana anakuwa na wivu.
Mwanaume anaweza vizuri sana maana kiwango cha unafiki ni hadhi ya nyota tano. Mtu anaeweza msifia ebitoke na kumfanya ajihisi Rihana unadhani ni swala dogo 🤣🤣🤣!Unaweza kaa na mwanamke usiempenda?..
Ila wanawake wanaweza
Akipenda pochi kwa mfano
Aisee nimekukosa!! DaahMimi kipande changu ni chura peke yake, sitaki kipande kingine!
ni sawa ukiwa bar....ile ukifika unaona hakuna hata dem anaefikia mkeo/mpenzio......bia ya 1,,,,,,ikifika ya 5....mabaa medi wote warembo......Mwanaume anaweza vizuri sana maana kiwango cha unafiki ni hadhi ya nyota tano. Mtu anaeweza msifia ebitoke na kumfanya ajihisi Rihana unadhani ni swala dogo 🤣🤣🤣!
Wanawake hawawezi!
[emoji23][emoji23][emoji23] wanawake kwenye swala hilo kama nyau au kukimbiza mwizi kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mods tunaomba viemoj vya kugaragara kabisa Moderator [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio tumeanza lini? Huwa lipo mke akichoshwa hujiongeza kisa nini kujipa stress,Mmeanza lini!?
Haaa haaa zikiishaa anawekwa pembeniTulipoanza kupenda pochi na sio mtu
Kwa mwanaume ni ngumu sana ndiyo yale anakesha bar, ili muda usonge afike usiku kwake,Mwanaume anaweza vizuri sana maana kiwango cha unafiki ni hadhi ya nyota tano. Mtu anaeweza msifia ebitoke na kumfanya ajihisi Rihana unadhani ni swala dogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Wanawake hawawezi!
Achana na michepuko shorttimeMwanaume anaweza vizuri sana maana kiwango cha unafiki ni hadhi ya nyota tano. Mtu anaeweza msifia ebitoke na kumfanya ajihisi Rihana unadhani ni swala dogo 🤣🤣🤣!
Wanawake hawawezi!
Hahahah kuoa mke usiyempenda ni ishuAchana na michepuko shorttime
Tuzungumzie ndoa
Mwanaume gani anaweza oa mwanamke asiempenda?.!
Ila ni wanawake wangapi wanaolewa na wasiowapenda na wanaweza akishaona usalama wa pochi kwa mfano?