chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Maendeleo hayana chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe na hasira sasaHata unipe nini lakini hutoweza kunitosheleza hivo lazima nitatoka nje tu na nitarudi ndani kikubwa nakuheshimu na natimiza majukumu wewe niache tu wala usiumie roho.
Stupidity [emoji706] kwahiyo muachwe tu mlete magonjwa eti simply because hamuwezi kutulia, wanawake kibao hawatoshelezwi mbona wametulia wanawavumilia au na wao wakatafute watu wengine huko wa kuwatosheleza, kujiendekeza tu.[emoji57][emoji57]
Hii kauli si ya kweli, mabucha kweli ni yaleyale ila nyama inapishana utamuNdio maana umeyapenda maneno ya mama Mghwira [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila eti wanasemaga "utazunguuka mabucha yote nyama ni ile ile" sa sijui kweli au vip[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata wanawake wanavipande vyao vingi tu,labda kama hujawasoma.
Lakini unatafuta hela au na wewe si msanii
Napambana nipate hela Manka,hivi mbona uliniahidigi yule mdogo wako msupuu, halafu ukaniacha hewani tena Miss.Kama huna hela we ni kiraka
Jitahidi ukipata nishtue namkupaNapambana nipate hela Manka,hivi mbona uliniahidigi yule mdogo wako msupuu, halafu ukaniacha hewani tena Miss.
Upo sahihi Dada..mimi nimeoa nikiwa 31 na nilioa nikiwa clean kabisa kabisa sikuwahi kudondoka hata mara moja tangu utoto..nilikuwa kuwa na mchumba kabla na tulidumu more than 5 years without sex.Hamna lolote Ni kujiendekeza tu,Ni wanaume wangapi wametulia na mwanamke mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote ni sawa tuu..wanaume ni vipande na wanawake pia..ni uamuzi tuu wa kuchagua which part is best for your life,you choose one and stay for ever..kuna maandiko yanasema enyi wanadamu kamwe hamtaweza kutimiza tamaa za miili yenu..tamaa ni kama mtihani tuu ambao kila mwanadamu amepewa.
Aulizwe yeye Anna Mgwira kaolewa na WANAUME wangap?au ameshawah kuishi na WANAUME wangap?Jana katika pita pita zangu mitandaoni nikakutana na lile sakata la yule Bi. Mkubwa aliechezea vitasa mjini Moshi baada ya kuhusishwa na fumanizi flani.
Katika hali ambayo iliamsha hisia zangu zaidi ni mahojiano ambayo yalifanyika kati yake na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira ambapo mwisho wa siku aliamua kutoa ufafanuzi flani juu ya lile tukio kama kuhitimisha.
Alisema, "Kupendwa ni haki ya kila mtu hivyo hakuna sababu ya wanawake kupiga wenzao maana kimsingi hakuna kosa kwenye kupenda. Isitoshe mwanaume huwa anapenda kwa vipande vipande (sections) na huwa hapendi mwanamke mzima. Kwako atapenda pua, kule sikio, kule macho n.k. Wanawake wamejaaliwa nguvu ya pekee ya kupenda mtu katika uzima wake hivyo ni vyema wangejifunza kuishi na hilo badala ya kuumizana."
Kimsingi naona mama Anna Mghwira ametuinua kinamna flani japo ChrisMauki alitupondea. Pia, kamaliza ule utata wa siku nyingi kuhusu wanaume kuwa haturidhiki na mke mmoja, jamani warembo sie tunapenda kipande flani tu kwa kila mwanamke na ndio maana tunahangaika kukamilisha mwili mzima. Mtuelewe tafadhali wala msipigane 😂😂😂
Ukipata majibu nami nitag nije kisoma, maana kabla ya kwenda Kilimanjaro nilikuwa namuona na gari ya zambarau tu.Aulizwe yeye Anna Mgwira kaolewa na WANAUME wangap?au ameshawah kuishi na WANAUME wangap?