Wakuu,
Hizi nipongezi za dhati kwa huyu Mama, ameonesha njia kwa kueleza uhalisia jinsi wanaume rijali tunavopenda vipande vipande, maana yake kuna utaempenda macho, mwingine utampenda kwa mguu wake wa bia, na mwingine utampenda kwa usafi wake
Huo ndio uhalisia na wanawake mkilijua hilo hamtokuja kujifanya mnavuruga ndoa zenu, sisi wanaume hata unipe nini lakini hutoweza kunitosheleza hivo lazima nitatoka nje tu na nitarudi ndani kikubwa nakuheshimu na natimiza majukumu wewe niache tu wala usiumie roho
Naimani wanawake mmejifunza kutokana na kauli ya huyu mama Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
PONGEZI ZIKUFIKIE MAMA YETU KWA KUELEZA JAMII HUO UHALISIA WA WANAUME.