Ndio maana umeyapenda maneno ya mama Mghwira πππWangu nampendea akili za maisha tu ila kuhusu mambo mengine mungu anasaidia πππ
Kwa nini siyo poa?? Nature inawafavor,Mila na tamaduni zina wafavor, vitabu vya dini vinawafavor( agano la kale kwa biblia)... haya bado haitoshi mama kawaruhusu kwa vipande wakati yeye ni mwanamke?Mama kajitahidi Sana kuelezea Ila kwa wanaume tuna haja ya kujitathmini Sana aisee.. umalaya sio poah!!
Asije akakuongopea mtuNdio maana umeyapenda maneno ya mama Mghwira [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila eti wanasemaga "utazunguuka mabucha yote nyama ni ile ile" sa sijui kweli au vip[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hana tako?Wangu nampendea akili za maisha tu ila kuhusu mambo mengine mungu anasaidia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah chips ziko nyingi kinondoni ila kwa sele bonge ndo balaa, hujiulizi kwanini?Ndio maana umeyapenda maneno ya mama Mghwira πππ
Ila eti wanasemaga "utazunguuka mabucha yote nyama ni ile ile" sa sijui kweli au vipπ€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wanawake hawanaga mbwembwe wao vipande vyao huvipenda kimya kimya mme akirudi yeye ni pambio tu , vipande vipo hata kwa wanawake