Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #141
imekuchoma wewe unaetukana mwenye afya yako mbovu ya akiliImekuchoma pimbi wewe
siojaongelea kuhongwa hapo bruhDear sister, thamani yako haipo kwenye kuhongwa pesa.
Unapoambiwa upgrade your standards
Unapo ambiwa be upstairs
Sio kuhongwa pesa tu, sijajua wadada wa sasa mmefanywa nini aisee....
Anyway naheshimu mtazamo wako, kama kwako mapenzi it's all about money then do your business.
I don't care about what you think dear sis...imekuchoma wewe unaetukana mwenye afya yako mbovu ya akili
bure amekufa mwaka 2025 uwekeze kwanza uache ubwete
Usipojitambua kama Msichana au Mwanaume, hizi ndio sehemu zako zitaathirika.... GIRL CODE NO 4
Ewe mwanamke wewe msichana wewe binti Usipotambua thamani yako kama mwanamke, zitakazoathirika ni 1. sehemu zako za siri 2. utu wako 3. saikolojia yako juu ya wanaume 4. afya ya akili yako nakusahuri, jitambue, jielewe jua thamani yako, jua wewe ndio the price sio mwanaume natoa darasa la...www.jamiiforums.com
"No free lunch" ni falsafa ya maisha...siojaongelea kuhongwa hapo bruh
kaangalie wap nimeandikwa kuhongwa au kahongwe
me nadhani hii topic imekuvuruga sababu unahisi hautaopata tena vya bure
kafanye kazi acha ubwete
Usipojitambua kama Msichana au Mwanaume, hizi ndio sehemu zako zitaathirika.... GIRL CODE NO 4
Ewe mwanamke wewe msichana wewe binti Usipotambua thamani yako kama mwanamke, zitakazoathirika ni 1. sehemu zako za siri 2. utu wako 3. saikolojia yako juu ya wanaume 4. afya ya akili yako nakusahuri, jitambue, jielewe jua thamani yako, jua wewe ndio the price sio mwanaume natoa darasa la...www.jamiiforums.com
if you dont care, why are you here?I don't care about what you think dear sis...
Uhalisia ni huo, mnatumia mlango wa kuhudumiwa kupunguza ukali wa maneno....
Incase unajali kuhusu kuwekeza na kutafuta pesa tafuta fursa, wekeza kwenye ideas, fungua biashara zako acha kuwa concerned na pesa ambazo sio zako....
Yaani mpaka udeserve such kind of treatment una potentiality ipi labda? Ni uzuri wako tu au kuna kingine?
Huwa situmii lugha ngumu kwa sababu najali sana communication skills na ninaheshimu sana wanawake kwa sababu wapo wanawake hustlers sana ambao kwa hustling zao tunawapa support hata bila wao kuja kujielezea sana kama wewe hapa but next time provide some logic points to support your Low minded IQ.......
Invest in yourself hao wanaume unao wahitaji kuja kukupa pesa watakuja na kustay kama wakiona value ndani yako.... Unless utaishia kutumika sana na hizo conspiracy theories zako...
No hard feelings ✅
nooo me ukweli naujua kabla haujazaliwa"No free lunch" ni falsafa ya maisha...
Nadhani hautaki kuambiwa ukweli ina mapenzi sio biashara... Kama unayachukulia kwa muktadha huo means hauna tofauti na mtu ambaye anafanya biashara ya kuuza mwili wake.
Nadhani unaongelea kwamba sisi tunataka vya bure, so ukipewa hizo pesa wewe unarudisha nini? Sex?
Mwanamke ukiwa over 25 unatakiwa uwe na akili zaidi ya hapo.... Sex sio malipo ya kuhudumiwa au sio favour kwa mwanaume....
Ukiona mwanaume mpaka leo anawaza kuinvest kwa sababu ya kupata sex, he is a simp.....
Acheni kuwapotosha mabinti wadogo mtaani, mnawaharibia future zao na hizo harakati ambazo mnazianzisha....
So take it or leave it......
Okay, mimi sio mtu wa kubishana, so acha nimalizie kwa kukukumbusha haya....nooo me ukweli naujua kabla haujazaliwa
ni wewe hautaki wanawake wote waujue ukweli
unakuja kunizima zima wakati ukweli uko ni mtu kuchukua hatua
na kwanini niwe mpenzi wa mwanaume ambae hanihudumiiOkay, mimi sio mtu wa kubishana, so acha nimalizie kwa kukukumbusha haya....
Mwanaume anakuwa responsible kwenye maeneo makubwa matatu kwa familia yake/ mke wake....
1. He is a leader
2. He is a protector
3. He is a provider
So Incase wewe ni mke wake basi hayo maeneo ni wajibu wake kuwajibika na sio wajibu tu Bali ni lazima.
Ila kama wewe ni mpenzi tu, kuhudumiwa ni msaada tu na sio wajibu.
Unaonekana haupo tayari kuelewa ila umejiandaa kubishana au kutolewa.
So I rest the case...
Good morning sis ✅