Wanaume wanne wamcharaza mwanamke viboko kisa dini

Status
Not open for further replies.
Dini ya haki na amani.
Huwa najiuliza huyo Allah akbalu anakazi gani ? Sijawahi pata jibu.
Maana wafuasi wake wanatoa hukumu zote wao wenyewe, kuchinja, kukata mikono, kucharaza bakola, kupiga mawe n.k
Huyu Allah mbona ni mungu mvivu sana? Uwezo wake hadi kuitwa mungu ni upi?
 
Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye.
Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini

Hizi laana zitakuja kuwatafuna brazaj
Ni ujinga tu hao wanaompiga wana ugonjwa wa akili
 
Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye.
Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini

Hizi laana zitakuja kuwatafuna brazaj
Hao kobasi wa hivyo wabaki hizo nchi huko huko huku Tz hatutaki hayo Mambo,ukimcharaza Mwanamke viboko kisa Dini unaenda kulala sero
 
unaongelea saudia arabia wakati hapo zanzibar mambo kama haya yapo, kipindi cha mfungo hukuona jf?
 
Taratibu ndugu ujue hao uliosema wajinga ni NCHI ZA KIISLAMU NA ZINA HESHIMA YA UISLAMU TANGU KALE

Achana na hao watu wa maigizo na hilo mleta mada analijua vizuri ila ana agenda yake dhidi ya uislamu na waislamu
 
Hao ni wajinga wa Nigeria huko.
Wakati mwingine naona mpaka aibu kua muislamu. Maana ukiangalia waislamu wenyewe, dah!
 
Apo kwenye kuchapwa viboko mia kisa kuzini ili iweje . Yani kuzini nizini mm nyie mnichape viboko kwan nyie ndo MUNGU🤔 mwanadamu huruhusiwi kumwadhibu mwanadamu mwenzàko Wala kumuhukumu✍️ mwenye haki ya kuhukumu ni mwenye enzi MUNGU mana hakuna kiumbe kinachoitwa mwanadamu ni kikamilifu wote ni wadhaifu aliye mkamilifu ndo anapaswa kutoa adhabu
 
Umemaliza mjadala,na huwenda pia hiyo ikawa ni movie,wana act hao,sio kweli,waona hata hixo fimbo,hazimpigi huo mwanamke.
 
Hiyo ni acting,sio kweli.Wafikri serekali ya nchi husika,ita waacha hao wanaomchapa huyo mwanamke.Ni movie,hao wana act tu.
 
Mbona haihitaji nguvu yoyote kuelewa kuwa hapo ni shuleni... Mara ngapi shule zetu kibongobongo mtu anafanyiwa mambo kama hayo au zaidi ya hayo... Je mmewahi kuhusisha na dini?

Halafu kwanini kila utumbo unaoletwaga kuhusu kuuzushia uislamu watu wanakimbilia kuporomosha matusi hata wakielekezwa kuwa uislamu haufundishi hivyo? Je mna nia ya kujifunza kweli au nyote ni mkumbo mmoja na mleta mada, jiwe angavu, na company yao?
 
Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye.
Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini

Hizi laana zitakuja kuwatafuna brazaj
Hii ni movie,ni acting tu,sio tukio la kweli.Hao ni waigizaji,kama unavyoona wanaogiza movie,za kichawi,kishetani,kuuana,kupigana,kukatana mapanga.Ukitizama movie za Kijapani wakipigana Kung fu au za Kituruki wakipigana,asiye na akili atajua ni kweli.Hizo ni acting tu(ni maigizo)
 
Wajinga ni wengi duniani,utapatq,tabu kuwaafahamisha.
 
Hao wanaomchapa hawazini????
 
HUwez igiza vitu ambavyo havipo.
 
Hakuna shule yabkawaida popote inapiga mwanafunzi namna hiyo. Sheria ni kuchapa matako au kiganjani.
Hakuna walimu wanachangia kilupiga mtoto m1 tena wa kike kwa wakat mmoja.
Lame excuses
 
Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye.
Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini

Hizi laana zitakuja kuwatafuna brazaj
Kwamba huyo wanayemuabudu anawafundisha ukatili kwa wanadamu wengine.
Mungu ni waUpendo. Na ndiyo nguzo kuu ya imani yoyote duniani.
 
Kwani alizini peke yake. Aliyezini nae mbona hajachapwa hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…